Recent content by Exogenous Factor

  1. Exogenous Factor

    Naomba kujuzwa chimbo la dawa za jumla

    Kaka tuwasiliane kwenye hiyo namba tufanye biashara kwa bei sawa na buuuuureeee
  2. Exogenous Factor

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Natamani kumsikia akisema Mason nae arudishwe!
  3. Exogenous Factor

    The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    Bahati nzuri ni kwamba uzuri/ubora/mvuto wa jambo/kitu fulani uwa sio "universal". Mimi kwa kutizama kwangu na kwa vigezo vyangu niliona City alicheza mpira mzuri zaidi ya Madrid na hivyo alistahiki matokeo mazuri zaidi.
  4. Exogenous Factor

    The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    Ni vile tu soka ni mchezo wa kikatili sana. Manchester City alistahili ushindi. Walicheza vyema sana.
  5. Exogenous Factor

    Nimeng'atwa na nyoka ndotoni

    Mpaka sasa sijaona matokeo yoyote. Ilinitokea tarehe 02 April. Kwakweli imenipa mawazo sana ukizingatia msoto wangu wa life asee ndo navurugika zaidi.
  6. Exogenous Factor

    Nimeng'atwa na nyoka ndotoni

    Binafsi nliota napambana na nyoka mkubwa,katika mapambano yale akaniweka mtu kati😂😂,akaning'ata mguu wangu wa kushoto halafu mguu wangu wa kulia akawa kauzungushia sehemu ya mkia wake. Wakati nahangaika kumtoa ndo kuamka kutoka usingizini na sikuwa nmemtoa kwenye miguu yangu. Imenipa mawazo sana.
  7. Exogenous Factor

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Martinez nae kawa gari la mkaa siku hizi🥺🥺
  8. Exogenous Factor

    Jambo gani umewahi lifanya kwenye mapenzi ukajutia

    Ngoja nimalize kulia na kusikiliza nyimbo za lavalava ntakuja kuandika hapa😭😭😭.
  9. Exogenous Factor

    Mpangaji sema unataka kupanga wapi mwenye nyumba akujibu mmalizane bila udalali

    Kuna nyumba ya vyumba viwili,kimoja masta,sebule na jiko kwa 200k
  10. Exogenous Factor

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Nmesema mara kadhaa humu juu ya kiu yangu kumuona Amad uwanjani. Nlifurahi sana jana kumuona anakiwasha na kushinda goli la kutuvusha
  11. Exogenous Factor

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Mimi binafsi shaw namkubali. Namuona mtu wa kazi sana. Uwa nakuwa na imani awapo uwanjani. Amrabat kwakweli HAPANA
  12. Exogenous Factor

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Kuna dada mmoja kwenye mtandao wa X kaipost hii picha,huyu mdada ana stress za kuolewa balaa😂😂😂,yeye kila post yake analalamika wanaume wamekataa kumuoa
  13. Exogenous Factor

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Uwa natamani sana kumuona akicheza huyu kijana.
Back
Top Bottom