Naona kumepoa sana huku no updates zozote tatizo ni nini? Tuongelee magwiji wa soka je tuanze na yupi kati ya hawa
1. George Best
2. Diego Maradona
3. Dennis Bergkamp
Ni member mpya hapa jf naamini tutashirikiana kujuzana mengi na kufundishana nitakuwa naleta makala mbalimbali za michezo na nmeshaandika moja kuhusu Ronaldinho Gaucho chukua muda wako kuisoma Ahsanteni sana
Mwaka 1983 Brazil waliingia katika msiba mzito kisoka pale walipompoteza gwiji wao Manuel Francisco dos Santos almaarufu kwa jina la Garincha. Garincha ni moja ya kizazi cha dhahabu cha soka la Brazil kilichoibuka mwishoni mwa miaka ya 1950s akiingoza vyema nchi hiyo kunyakua ubingwa wa dunia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.