Recent content by alledo

  1. A

    JamiiForums Tanzania Mdahalo kati ya Freeman Mbowe na Hamad Rashid ITV

    Hofu ya CUF ni kuona CHADEMA kinakuwa chama kikuu cha upinzani ndo maana kashfa nyiiingii
  2. A

    JamiiForums Tanzania GE2010 Kagame, Museveni, Nkurungiza etc, wamemtosa JK?

    Wazungu wana laani kichizi mkwere kuwa tena raisi wa wabongo kwa sababu jamaa wamemchoka kwa 'mizinga'! kila kukicha jamaa kiguu na njia kutafuta misaada badala ya kujenga uwezo nchini mwake.kuna wakati anajisahau anawapiga mizinga hata jamaa zake wa A. mashariki; kina m7 , kibaki , etc ndo...
  3. A

    JamiiForums Tanzania GE2010 Slaa kahudhurie kuapishwa rais kesho.

    Slaa ahudhurie kuapishwa kwa kikwete ili ampongenze kikwete kwa utaalamu wake wa kumwibia kura au kwa lipi?
Back
Top Bottom