Pamoja na kuwa una uchungu wa kura kuchakachliwa lakini naamini umepata ushidi mkubwa katika uchaguzi huu kwa kuimarisha chama chako na pia kusaidia kutoa wabunge wengi wa upinzani,ni lazima tumshukuru MUNGU kwa hili.
Watu wengi wapo nyuma yako na ili uweze ku pr empty mipango yao kesho hudhuria na utakuwa kivutio kikubwa kwa wote.Utangazie umma kuwa utakwenda na utaona support utakayopata.
Umejitahidi mno na tunaamini CHADEMA kitaimarika zaidi kwani ruzuku itaongezeka na tutakuwa na uwezo wa kuwafikia watu wengi zaidi.
Matokeo haya ni ushindi mkubwa na "life will never be the same again",cement na mabati vitashuka bei tu tena kimya kimya.
Tutangazie kesho tukusindikize.