Kagame, Museveni, Nkurungiza etc, wamemtosa JK? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kagame, Museveni, Nkurungiza etc, wamemtosa JK?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Ubungoubungo, Nov 7, 2010.

 1. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #1
  Nov 7, 2010
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Jamani, jana kwenye sherehe za kumwapisha Mkwere, Bwana Mwai Kibaki nusura asije kabisa hadi mwishoni alipoona kuwa aliyoyatenda kwa Odinga yanafanana ya yale aliyoyatenda kikwete kwa wapinzani, ndo akaondoa ndege hadi bongo haraka. Ila, sina uhakika, M7 ametuma hata mwakilishi tu? kama hajaja yeye wala mwakilishi hajatumwa kuja,ina maana amemdharau mkwere?..Rwanda na Burundi wametuma wawakilishi tu. This is East Africa community ambayo viongozi wanatazamiwa kuwa na umoja kuliko jambo lolote lile. haitarajiwi hata kidogo zuma, kabila, lupia maraisi wao kuja in person, halafu wale wanaojifanya wana east africa kama rwanda, uganda na burundi kutuma wawakilishi tu..

  Mkwere, jiangalie vizuri, wenzio wanayaona unayofanya na wamekutosa manake wamekuona hauna lolote. mbona hawajaja kukutunza mkuu? tafakari hili...think about it!
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Nov 7, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,252
  Likes Received: 19,383
  Trophy Points: 280
  Mseveni ana bifu na jamaa --tetesi
   
 3. M

  Mfwatiliaji JF-Expert Member

  #3
  Nov 7, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 1,325
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kwa kweli ni ishara mbaya sana.
  Wanajua mkwere si lolote
   
 4. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #4
  Nov 7, 2010
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,838
  Likes Received: 11,956
  Trophy Points: 280
  Ni ajabu na kweli inakuwaje marais wanaounda EAC wasije aje Mugabe? hata Kibaki alikuja akiwa amechelewa sana dk za lala salama.
   
 5. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #5
  Nov 7, 2010
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  AU kwasababu mkwere alimwambia mseveni amezeeka aachie madaraka? izo speech zake jk ziko youtube hata sasa. m7 na kagame lao moja. lakini amekuja zuma, mugabe etc, kwa kuwai, kibaki alikuwa anatazama kama wenzie watakuja walivyoona hawaji yeye akaamua kurusha ndege harakaharaka kutua hapa kwa kuchelewa hadi alichelewesha sherehe...

  mbona hata watu wa ulaya, uchina hata russia marafiki wa zamani hawajampongeza mshikaji? rais gani wa tz hajawai kupongezwa akiwa anaapishwa?
   
 6. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #6
  Nov 7, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,173
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  Hawawezi kuja kwa sababu jamaa huwa anaona safari za ulaya kwenda kuomba-omba ni dili kuliko kutembelea viongozi wenzake wa EAC kubuni mbinu za kujikwamua wenyewe badala ya kuwaza kuhemea?
   
 7. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #7
  Nov 7, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,252
  Likes Received: 19,383
  Trophy Points: 280
  hizo nchi zipo makini bro!! urusi hakuna democracy kubwa lakini wananchi wake wanakula kuku tu
   
 8. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #8
  Nov 7, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  M7 nae ni mubabe tu...
   
 9. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #9
  Nov 7, 2010
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  anajidai mafuta nini, hajui na sisi hapa tunayo gesi na mafuta yako mbioni? tukipata si hata hayo ya kwake yatakosa soko kwasababu hawana bandari na hawatauza nchi za mbali zinazotumia usafiri wa meli?
   
 10. GodfreyTajiri

  GodfreyTajiri JF-Expert Member

  #10
  Nov 7, 2010
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 846
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 60
  sababu za kutokuhudhuria zinaweza kuwa

  1. sina hakika kama ile vita jamhuri ya kidemokrasia ya kongo
  iliisha rasmi. hivyo uwepo wa kabila na mugabe unaweza kuwafanya
  kagame na museveni kutohudhuria hiyo shughuli. aidha afrika kusini nayo
  inashutumiwa kuwauzia /kupitisha yale mapanga ya ntarahamwe hivyo
  uwepo wa zuma unaweza kuwafanya hao wakuu wa rwanda na uganda
  kutohudhuria

  au

  2.kwa sababu moja au nyingine jk hakubaliki na wenzake wa afrika mashariki

  au

  3. huo ni ujumbe wanamtumia kwamba hata wao hawaridhishwi na mchakato
  mzima wa "ushindi" wa jk

  au zote 1, 2 na 3.

   
 11. Joss

  Joss JF-Expert Member

  #11
  Nov 7, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 729
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  We unajua wakati Kagame anaapishwa nani aliwakilisha Tanzania?JK wako hakwenda eti alikuwa kwenye kampeni.
   
 12. Sijali

  Sijali JF-Expert Member

  #12
  Nov 7, 2010
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 2,053
  Likes Received: 404
  Trophy Points: 180
  Hii inaonesha JK hayuko popular na wenziwe wa EA kwa kushabikia kwake wazungu. Hao wazungu no bila shaka wameanza kumjua vizuri kwamba si mwanademokrasia wala mwenye vision. Sasa subiri manyanyaso yo. Misaada aidha itakatwa au itapunguzwa. Tanzania, tofuti na Kenya na Zimbabwe, haiwezi kamwe kuishi mwezi mmoja bila ya misaada (baada ya hawa manyang'au kuchuuza viwanda vyote). Maskini wazee wangu kijijini!
   
 13. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #13
  Nov 7, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,252
  Likes Received: 19,383
  Trophy Points: 280
  kaw hyo wewe unadhani angeweza kwenda kwenye kipindi cha kampeni? heh
   
 14. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #14
  Nov 7, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,173
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  2 na 3
   
 15. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #15
  Nov 7, 2010
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  mapanga ya intarahamwe si yalitoka china, nani anasema south africa tena? halafu, kagame na kabila sio maadui, ni kiini macho, kuna wengi wanasema hata kabila mwenyewe ni mrundi, kwasababu kabila baba yake hakuwa yule aliyekufa, kabila baba yake na mamayake ni wanyarwanda ila mamake alikuja kuolewa na laurent kabila yeye akawa mtoto wa nje/kufikiwa...akabadili jina hilo kuwa kabila badaye...kuke congo wako kwenye process kumwondoa mshikaji kwasababu wanasema wanatawaliwa na mtu ambaye siyo raia. pia inasemekena ni kagame alimweka madarakani na walifanya njama ya kumwua yule kabila ili joseph akae madarakani kwa interest za rwanda...jambo hili si jipya kujadiliwa huko congo na kwa wacongo walioko diaspora. hivyo ukiona kagame na kabila wanajifanya maadui, wala usiliweke kichwani, ni kuchanganya watu akili tu..wenzio wamesomea huo ushushushu kabisa.
   
 16. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #16
  Nov 7, 2010
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  hao wazungu pia hawajampongeza sasa, hata wachina ambao walikuwa marafiki zetu na wanaotengeneza uhusiano na manchi mengi ya africa hawajamtumia hata pongezi...prezo wetu yuko peke yake, katoswa...yetu macho.
   
 17. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #17
  Nov 7, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Yeah, hii inaweza kuwa na ukweli kiasi, kwani niliwahi kumsikia ,mkuu wa police uganda akiilaumu bongo kuwa imejiweka kando hasa kutokana na ulipuzi wa mabomu kule Kampala, Bongo haikutoa ushirikiano thabiti!
   
 18. Mamushka

  Mamushka JF-Expert Member

  #18
  Nov 7, 2010
  Joined: Feb 17, 2010
  Messages: 1,610
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hata wasipokuja ni sawa tu mbona hata yeye hakwenda wakati anaapishwa kagame? Ndo kwanza alikua busy na mambo yake wakati angeweza kwenda na akarudi, acha wamsusie na yeye, ingekua ulaya angekimbia.
   
 19. a

  alledo New Member

  #19
  Nov 7, 2010
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wazungu wana laani kichizi mkwere kuwa tena raisi wa wabongo kwa sababu jamaa wamemchoka kwa 'mizinga'! kila kukicha jamaa kiguu na njia kutafuta misaada badala ya kujenga uwezo nchini mwake.kuna wakati anajisahau anawapiga mizinga hata jamaa zake wa A. mashariki; kina m7 , kibaki , etc ndo maana jamaa hawakuja au wamekuja kishingo upande!!!!!!!
   
Loading...