Mkuu mimi nilikuwa natarajia kununua sony bravia lakini nimejaribu kupitia review yake sijaona port ya kuweka cam card inawezekana kweli tv smart latest ikakosa hiyo kitu
Naomba kuuliza hiv inawezekana hiz bravia hazina port ya kuchomeka cam card sababu nilikuwa nareview online sikuona hicho kitu na me ni mtumiaj wa card badala ya kin'gamuzi
Wakuu nawashukuru sana kwa miongozo mlokuwa mkitoa since day one naanza interview za utumishi hatimae nami nimebahatika katika mkeka ulotolewa leo mchana....... Ningependa kuwashaur tusikate tamaa kwa mliobaki ni swala la muda tu
Pia kuhusu swala tulilolizungumzia mda mrefu la STATUS kwenye Web...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.