Kuna ambao nimewatumia tokea August mwaka jana so bado tu dm zangu hazijafikiwa kusomwa??pia mfano mdogo angalia wanavyoweka post zao first comment kujibiw ni ishu
Sent using Jamii Forums mobile app
Baadhi ya wasanii na watu maarufu wamekua miongon mwa watu wanaopenda kupost mambo ya kiungwana katika kurasa zao mabalimabli kama facebook, WhatsApp twitter nk. Wakionesha huruma kwa wagonjwa hata kutaka wasaidiwe au kuweka topic kwa makusudi ya kuelimisha jamii inayowazunguka.
Malamiko yangu...
Huku sikudhania kama kuna matahaira..ila ww unifumbua macho suala la nchi we unahoji kuhusu chama...acha kukalia kichwa makalio ulipewa kwa ajili ya wanaopenda vichongeo??
Ila mi nilimuelewa yule dada tofauti katika kuomba msamaha..hakukanusha kuwa lowas c baba yake ila aliomba rdhi kua hakujua kama yangeweza kua makubwa vile...wap alifta maelezo yake kua lowasa c baba yake ka alivyosema waz?? Ka hyo ipo naombwa kuambiwa c kutukanwa
Hapo sijakuelewa unapata hizo package kwa shingap?? Kwan mi najiunga lain ya chuo kwa sh 2500 dk 200 halotel kwa haltel dk 20 mitandao yote mb 1350 txt bila kikomo
Hata angekua mfagizi...ttzo wabongo ni waongo yeye ka kafanikiwa ni vizur coz ana creat ajir ila akae kimy c kudngnya watu...jamn buku saba tena kuanzia 2014 unaifanyia nn
Umeandika yote ila mi nakubaliana na ww asilimia 90 mark juic hakuanza na mtaji wa sh 7000 inawezkana vp mfnyakaz wa benki tena yeye mwnyw kwa kuamua kuacha kaz akose mtaj ili hali anafaham fika kabisa ya kua anaacha kaz??
Kifupi mr Chalali we ni mropokaji na mjuaji ka usivyoogopa nami sikuopi,acha ujuaji ulioptliza ndgu,na sidhan kwa akili hizi zinazokufanya uandike haya ushawahi kua afisa usalama hata wa kuku?? Uko empty sana,hata ka taifa letu haliko sawa...c njia sahihi kuchochea vita.unajifnya unaelwa kila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.