NYOTA wa Paris Saint-Germain, Neymar amewasili mjini Belo Horizonte akiwa na mama yake, Nadine Goncalves Da Silva and na Daktari wa timu ya taifa ya Brazil, Rodrigo Lasmar jana tayari kwa upasuaji wa mguu.
Nyota huyo wa anatarajiwa kufanyiwaupasuaji wa mguu baada ya kuumia enka Jumamosi...
Brother We Umekremishwa Uko Madrasa. Mungu Hataki Dini yako, anataka moyo wako, Acha Izo akili za kujipendelea, Mungu Hakuleta Dini. Ishi vizuri na watu Usijione wewe Bora kuliko wenzio MUNGU hakuleta Dini. Izo ni Njia tu za kumkaribia Basi,
MUNGU NI MUWEZA WA KILA KITU ANGETAKA WATU WOTE...
We Jamaa Vipi, kwani Dini ya Mababu zako Ilitajwa na Mungu.
Na mlikua Mnaabudu Mizimu.
Tena enzi hizo kila unachokiomba unpata kwa mizimu yenu
Skuizi mnajifanya watakatifu Pumbavu Shida, Njaa, ukame, Uzinzi kibao. Mungu ni Mungu wa Wote tu Cha Muhimu Upendo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.