Recent content by Allah is sufficient

  1. A

    JamiiForums Tanzania Je, inajuzu haya kisheria?

    Habari za majukumu wanafamilia wa JF. Mimi nilikuwa naomba ufafanuzi wa kisheria kwa dhati kabla sijaanza kufuata hatua zingine. Kuna kesi ya madai iliyosajiliwa mahakamani na ikatolewa uamuzi kuwa kesi imeisha na mdaiwa aliwekewa muda wa kulipa. Sasa kabla mdaiwa hajafikia ile siku ya kulipa...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Affiliate Marketing Tanzania

    Amani ya Mungu iwe juu yenu wanafamilia wa Jamii Forum. Je, kwa Tanzania kuna uwezekano wa kufanya Affiliate marketing? Kama ndio, Tafadhali mwenye ujuzi anifundishe kama inawezekana from zero level beginners . Naamini sio mimi tu nitafaidika pia vijana wengine watapata fursa. Shukran za dhati.
  3. A

    JamiiForums Tanzania Aliexpress Tanzania ina husisha utapeli?

    Nimesanuka. Mimi nikiona jambo ni la mashaka lazima nishirikishe watu kwanza kabla sijaingia kichwa kichwa
  4. A

    JamiiForums Tanzania Aliexpress Tanzania ina husisha utapeli?

    Kimewaramba hawanipati
  5. A

    JamiiForums Tanzania Aliexpress Tanzania ina husisha utapeli?

    Saa hii ukisema usubiri unaowajua wakupe mchongo utachoka sana at least the strangers gave me 2500 ya airtime lakn nimegundua kunakuibiwa nimeruun harder haha
  6. A

    JamiiForums Tanzania Aliexpress Tanzania ina husisha utapeli?

    Hata kama ni wao hawapata ata mbuni kutoka kwangu Hata hvyo kuna bidhaa walinitumia link nikaadd to cart baade Aliexpress real account wakaniemail
  7. A

    JamiiForums Tanzania Aliexpress Tanzania ina husisha utapeli?

    Nishapata bonus zao kama 2.5k kifuta jasho japo baada ya hapo nilivyomalizia task kadhaa hawakunilipa ndipo waliponiamba niwatumie 15k ili wanalipe na faida nami ndio nikasanuka nikaona sio mbaya kushare na wanaJF
  8. A

    JamiiForums Tanzania Aliexpress Tanzania ina husisha utapeli?

    Siwalaumu kiongozi, nilikuwa nataka kujua tu kuhusu wao kiundani hasa miamala yao ya kimitego
  9. A

    JamiiForums Tanzania Aliexpress Tanzania ina husisha utapeli?

    Ahhaqhhhahahaha my ribs🤣🤣 hakika hawanipati. Sasa hapo kwa group naona watu watoa feedback kuwa wamepewa faida kila nikitaka kuijiingiza namlaani shetani
  10. A

    JamiiForums Tanzania Aliexpress Tanzania ina husisha utapeli?

    Nimejifunza kitu rahisi kupitia hawa watu wnacheza na akili za watu. Simple task malipo makubwa it means wanajua watakavyokunasa. Nami nimejikataa siwaamini ata
  11. A

    JamiiForums Tanzania Aliexpress Tanzania ina husisha utapeli?

    Khaa aan for sure nilifreeze for a while how dare anataka nitume 15k over nothing bora angenidanganya hata ninunue bidhaa moja afu baadae anitapeli sio kuwa straight foward hivi orjoo
  12. A

    JamiiForums Tanzania Aliexpress Tanzania ina husisha utapeli?

    Habari zenu wanaJF. Nilikuwa nauliza kuhusu Aliexpress mwenye ujuzi nao tafadhali atuthibitishie. Jana nilipata kutextiwa whatsapp kwa namba ngeni akijitamvulisha kuwa ni mfanyakazi wa Ali Expresss Tanzania, basi nikamsililiza akanambia alinipa task kuwa atanipatia link then bidhaa...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Ninatafuta kazi au kibarua cha kulipwa kwa siku.

    As Asante mpendwa
  14. A

    JamiiForums Tanzania Ninatafuta kazi au kibarua cha kulipwa kwa siku.

    Thanks 😊
Back
Top Bottom