Habarini zenu wakuu, nina suala linanisumbua kati yangu na jirani angu kuhusu mipaka.
Ni hivi jirani yangu kapanda mti wa mparachichi hii ya kisasa jirani kabisa na mpaka takribani nusu mita toka mpaka ulipo, sasa umekua na matawi mengi yamekuwa shambani kwangu ambapo nimepanda migomba...
Hivi karibuni katika mtaa ninaoishi ambapo pia nimejenga nyumba ninayoishi,kumejitokeza watu wanaojiita Bodi ya maji ya Bonde la Ziwa Nyasa wakidai kuwa hili ni eneo la chanzo cha maji hivyo hapapaswi kufanya shughuli zozote za kibinadamu.
Kilichonishangaza ni kuwa watu walipokuwa wanajenga...
Lakini kumbuka nilianza kumhudumia toka anamimba hadi hela za kwenda hospital kujifungua nilitoa na bado naendelea kutoa huduma japo siyo 100% kutokana na umbali alipo.
Afadhari hata angeishi nae yeye.Mtoto kamuachia bibi yake yani mzaa mama ake.Bibi wa watu anashida sana afu mbaya zaidi familia kubwa.Yani kuna dada zake hyo mwanamke na mama zake wadogo wamemrundikia bibi wa watu vitoto km kituo cha watoto yatima.Hata mimi wanishukuru kuwa angalau namkumbuka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.