Recent content by aljabrif

  1. A

    Wavuta shisha na sigara na mashoga ni Watanzania pia, a message to Makonda

    Kuhusu mashoga iwe kama uganda tu itakuwa poa ,, yaani muheshimiwa aongeze nguvu kidogo ,, na wavutaji wa sigara watengewe sehemu kama vile jangwani au au Mbezi mwisho au Chanika,, mtu akae na pakti zake 3 avute akimaliza arudi mitaani.
  2. A

    Video: Viongozi wa Tanzania tujifunze kupitia hili

    Sijui dikteta kaiyona ? Rais akiongea tu anajulikana kama huyu ni mwana democracy au dikteta.. mwenye macho haambiwi tizama.
  3. A

    Ni kosa kubwa sana kumfananisha Rais Magufuli na Dikteta

    Story tu izo ,, kosa kubwa sana kumfananiza rais magufuli na dikteta ?? Je mapinduzi ya Jecha ilikuwa si kosa kubwa ? Je wew unajua maana ya dikteta ?? Kamanda Lisa atakuwa hajakurupuka kumwita tikteta ,, msomi mwanasheria Lisu anajua anachokifanya , ama nyinyi muko kimapenzi...
  4. A

    Siungi mkono Rais kutukanwa!

    Obama atukwanwa itakuwa magufuli ?
  5. A

    Hatma ya Muungano: Wazanzibari wadai kura ya Maoni

    Muungano ni maridhiano ,, ikiwa ushirika au vyovyote ,, la msingi Tanganyika na Zanzibar inahitaji kura ya maoni, , Zanzibar imelishwa na Tanganyika miaka mingi, mpaka watanganyika wenyewe wakisema ndani ya bunge kuwa wamechoka ,, sasa ni mda muafaka wa kuulizwa Watanzanzania wanautaka mungono ?
  6. A

    Lissu: Urais umemshinda Magufuli

    Maendeleo ya nchi si kugombana na wana siasa wala kuzuiya media , wala fukuza fukuza,, rais magufuli kama hawezi kuiga basi engesoma vitabu au amtafute japo mfagia barabara wa amrehemu Gaddafi akamuelekeza namna gani unaweza kuigomboa nchi na wananchi.
  7. A

    UPDATES: The UK has voted by 52% to 48% to leave the European Union

    Serekali ya uwengereza ni ya democracy serekali ya tanzania ni ya dictater.
Back
Top Bottom