Vita ni vita muraaaaa[emoji41][emoji41][emoji41]
Kama hujawahi kupigwa tukio na hawa viumbe hutakaa umwelewe jamaa ila hawa viumbe wengi hawana huruma....
Yangu ni kwenye uwajibikaji
Viongozi wa kuchanguliwa wawekewe mfumo wa kuwajibika kwenye ahadi ambazo watakuwa wanazitoa wenyewe kulingana na mazingira yao.Kwa mfano
1. Ikiwa ametimiza ahadi zake muhimu kwenye eneo lake kwa 80% na zaidi ndo apite bila kupingwa kwenye chama na uchaguzi mkuu.
2...
Nadhani Rais yupo sahihi sana...Just imagine wew ndo unaendesha nchi na umeteua watu wakusaidie kazi alafu muda huu wako radhi waachie ngazi wakatangaze nia na idadi ni kubwa bila kufanya hivyo nchi ingesimama na nina imani baada ya uchaguzi wa kura za maoni na mkuu watu watakuwa serious sasa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.