Recent content by Alistaric

  1. A

    Arusha: Mtoto wa miezi 9 alawitiwa na Baba yake mzazi hadi kufariki dunia

    Haya matukio huwa yanaambatana na maagano ya kishetani. Maana mtu na na akili zako timamu hauwezi fanya hivyo kwa mwanao wa kumzaa. Labda uwe unatimiza masharti ya waganga. Adhabu kali itolewe juu yake.
  2. A

    Mke wangu hanisalimii, anasema salamu ni wajibu wa mwanaume kwa mke au familia yake

    Hapo kinachowaunganisha ni ndoa tu ila hapo hamna mapenzi tena
  3. A

    Kijana baada ya miaka 5 kumaliza masomo ya engineer

    Bora usome miaka mitano na uwe na uhakika wa ajira ama kujiajiri. Kama sio hivyo kuna miaka mingine ya kujitafuta mtaani baada ya elimu. Unakuja kujipata ushazeeka.
  4. A

    PreGE2025 Dar: Method Damian Kumdyanko adaiwa kutekwa na watu wasiojulikana wakiwa na silaha

    Lucky Dube sang; 🎶 People dying like flies every day, You read about it in the news, But you don't believe it, You'll only know about it, When the man in the long black coat, Knocks on your door, Cause you're his next victim,
Back
Top Bottom