Recent content by alinine76

  1. A

    Picha: Tofauti kati ya Magufuli na Lowassa wakati wa Uchukuaji wa Fomu za Urais

    hata marekan upinzan upo maskin wapo pia issue n hiz pesa zitatudishwa vp?huu utajir tunao ambiwa tutapewa atautoa wap tupo mil 50 najiuliza cpat jibu
  2. A

    Msimamo wa Lipumba uheshimiwe; Dr. Benson Bana ni fedheha kwa PhD Holders...

    yetu macho vita vya panzi furaha ya kunguru
  3. A

    VIDEO: Prof. Lipumba akiri kumsaidia Rais Kikwete katika Uchaguzi 2010

    watatoka wengi kabla ya september kurud ccm
  4. A

    Prof. Ibrahim Lipumba atangaza kujiuzulu nafasi ya Uenyekiti wa CUF Taifa

    mh watajiudhuru wengi sisi yetu macho
  5. A

    Mgogoro: 4u Movement, Team Lowassa walumbana na CHADEMA ktk kupanga mikakati ya kumnadi Lowassa

    unapopewa lift unataka kupiga na honi....watavurugana sana wajitega wametegeka cjui
  6. A

    Ukweli kuhusu Dr. Slaa

    duh yAn mbowe kafanya hv?yan chama kimekuwa kama mali yake au taasis yake.namiunga mkono mzee slaa ana busara huwez lamba matapishi kumbuka cku za nyuma lowasa ndo ilikuwa sera ya cdm leo unaongea nn na amejisafisha nn? kifup hata cdm kupokea na kuwa hadhi ya kugombea tena ubunge udiwan wale...
  7. A

    Mkutano wa Baraza Kuu CHADEMA - Agosti 03, 2015

    cjamuelewa mbowe kuhusu slaa au ame katwaaa
  8. A

    AUDIO: Nuhu Mziwanda akimtongoza Wema Sepetu

    wema kafanya maksud amuumbue dogo
  9. A

    Kura ya Maoni: Muundo upi wa Muungano unafaa?

    Nadhan kila moja hapo lina faida zake na hasara zake.kwa akil zangu za kijinga me nadhan s1 n bora zaid sababu utakuwa n muungano wa kwel.kwa ukiangalia tushaingiliana kiundugu nk miaka mingi hzo serikal mbil au tatu c muungano tunaraka taifa moja bendera moja rais moja.ikishindikana bas...
  10. A

    Dalali dalali mjimwema kigamboni

    Kwa mahitaji ya viwanja,mashamba nyumba,nyumba au vyumba vya kupanga kigamboni mjimwema mpk kimbiji.wasiliana na namba hii 0716 888 799 uliza abas
  11. A

    Kikwete kwenye mgogoro na Rwanda kutokana na ushauri wake kwa Kagame na Museven kuhusu waasi wa FDLR

    Nlisoma asbh hii kitu ya hilo gazet..kwan kama watu wana gombana utawashaur wapigane zaid au wakae chin wasuruhishe tofaut zao?yale yalikuwa mawazo kuwa wakae round table waongee kama hawatak bas ila wakimbiz wasije hapa na kama wanaona wanaonewa rwanda bas
  12. A

    Vurugu kati ya CHADEMA na CUF juu ya USHOGA zasababisha Bunge kuahirishwa

    Nmeliona bunge leo na nmesikia kwa masikio yangu .nadhan kwa kuwa wale wabunge wameisoma ishu nzima coz walisha pewa kuisoma bas lipo tatzo ndan ya hayo makaratas ndo mana cuf wame kuja juu nmesikia clouds fm spika aliita wana usalama.siasa inaenda wap cjategemea hili kutokea
  13. A

    Taratibu mambo yameanza kuwekwa hadharani kuhusu Lwakatare

    Ukwel wanaujua wahusika na mungu wao sisi kwann tuumize kichwa Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
  14. A

    Hivi kuna mwanaume rijali asiye tembea na machangu?

    Uko sahihi ila usiseme wanaume ndo wazinz peke yao hata mkeo akienda semina pia watu wana gonga tena sana kuliko wewe.mwanamke ana akil kama wewe pia jins unavyo jificha nae anatumia njia hio hio kama wewe so katika suala la mapenz hakuna mjanja kuliko mwingine Sent from my BlackBerry 8520...
  15. A

    Kila nikimnyonya naishia kutapika, kumuacha siwezi sijui nifanyeje!

    Afya muhimu kwanza ila shaur lake Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Back
Top Bottom