Recent content by aliisaac1000

  1. A

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    MNAKATA UMEME HATA SIKU YA MAADHIMISHO YA UHURU MIAKA 60! leo ndio mmedhihitisha ninyi mnafaa kuwa privatized maana hata umuhimu wa hii siku kitaifa na kimataifa hamuithamini. Mtatumbuliwa mpaka lini??
  2. A

    JamiiForums Tanzania DAWASA Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na ushauri

    Dawasa iendane na mabadiliko. Mimi ni mteja mwenye account namba 90024389 iliopo mtoni mtongani kata ya kunduchi, Nina tatizo na wasoma meter wa eneo hilo ambao weledi wa kazi yao unanitia shaka na niwashauri wakuu wa taasisi wawe wanawapeleka kwenye mafunzo ya 'huduma kwa wateja' kwa watumishi...
  3. A

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Pokeeni tu maana hata hizo nilizotuma awali zilipokelewa wakasema hivyo hivyo!, napanga ku file official complaint EWURA ili waingilie Kati hili suala ‘Emergency’ maana halikidhi uwepo wake katika maana halisia.
  4. A

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    TANESCO NAOMBA KUULIZA’ HIVI ‘EMERGENCY’ kwenu maana yake ni nini?, usiku saa sita nime piga simu kituo cha mikocheni ‘emergency’ na kuwaelezea tatizo la umeme kwenye nguzo lililosababisha kukosa umeme hadi sasa lakini yamepita masaa saba hakuna responce yoyote, na hii imekua si mara ya kwanza...
  5. A

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    “MOTO KWENYE TRANSFORMER YA TANESCO UMETOKEA TAKRIBAN DAKIKA 30 ZILIZOPITA” CHAAJABU NA CHAKUSHANGAZA PAMOJA NA KUWAPIGIA SIMU TANESCO MIKOCHENI KITUO KILICHO TAKRIBAN MITA 400 KUTOKA KWENYE TUKIO ZAIDI YA MARA 4 HAKUNA JITIHADA ZA “HARAKA” KAMA LILIVYO NENO ZILIZOCHUKULIWA, BAADA YA SAAMOJA...
  6. A

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Ni ya mwezi wa tano na namba ya simu wanayo, ukiangalia data zangu kwenye hiyo meter namba na malalamiko niliyoleta utakuta namba yangu
  7. A

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    TANESCO HIVI TUNALAZIMIKA KUJA OFISINI KWENU MARA NGAPI ILI MTATUE KERO ZETU? Nimeleta malalamiko ya kuharibika kwa meter ambayo tena ni ya zamani ( 04088164605) ambayo hajabadilishwa kwa sababu zisizojulikana na pamoja na kubisha hodi mara 4 ofisini mikocheni kilometer zisizozidi mbili toka...
  8. A

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Vipi taarifa hazifiki waungwana wa tanesco sasa hii thread mumeweka ya nn kama shida za watu hamfuatilii ??
  9. A

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Luku yangu nimeomba nibadilishiwe muda mrefu maana ni toleo la zamani zile za ku punch lakini wapi, wanakuja wanapokua wanakagua meter lakini haibadili, sasa imefikia hatua niki punch luku number nilizonunua kuna number button fulani hazikubali. naona nije huku labda ntapata Masada maana hii...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Waziri Lukuvi, huku Idara ya Ardhi hakujakaa sawa

    Hii wizara rushwa haitakaa iishe itoshe kusema tu lukuvi imemshinda hii Wizara kama ilivyo kwa jeshi la polisi, inatakiwa ivunjwe na kuundwa upya
  11. A

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mtumishi wa NSSF alilipwa milioni 26 za uhamisho akitokea HQ Posta kwenda ofisi za NSSF Kinondoni Dar

    Huyu Erio alikua ni Mpwa wa marehemu Mkapa kwa hiyo alijenga kiburi na madharau kwakuwa alikua anajua hakuna wa kumgusa akasahau kuwa kila mwanzo kuna mwisho,
  12. A

    JamiiForums Tanzania Sheikh Mkuu Zuberi jenga shule kubwa badala ya misikiti mikubwa

    Wewe akili mgando kweli, umesahau kuwa udini ukiowabagua waislamu kwenye elimu, ajira na uongozi ulikuwa ni mkakati toka Enzi za mkoloni na ukaendelezwa baada ya uhuru na Uko mpaka sasa, huu unaitwa systemic discrimination na ipo sana, na waislamu walishapiga kelele huko nyuma lakini inaonekana...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu awasili Kenya, aweka kidole Mkataba wa Bomba la gesi Dar-Mombasa

    Kwa wale msiojua, ziara ya Raisi wetu haikuja Hivi Hivi tuu, inatokana na hamu kubwa walionao majirani zetu kwa ya kupata Gesi inayopatikana kwa wings nchini mwetu, Kenya imekua muda mrefu ikitaka Gesi yetu lakini utawala uliopita haukuharakisha matamanio ya majirani zetu kwasababu kwa mujibu wa...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Agizo: Wasafiri watakaoingia nchini watakaa karantini siku 14 kwa gharama zao

    Niliwahi kutoa uzi hapo awali kuhusu wave MPYA ya corona kali toka India ambako kuna taarifa kundi la wahindi waliokuepo India linarudi Tanzania kukimbia janga jipya la corona cha ajabu serikali yetu ipo kimya bado tumetia pamba masikioni, usafiri na India Uko pale pale huku nchi nyingi zikifuta...
Back
Top Bottom