Habari wakuu..
Naomba msaada was mawazo yenu katika kufanikisha wazo langu..
Nina wazo la kutoa huduma ya masoko kwa kampuni ndogo na kubwa( ingawa si wazo geni)
Mimi ninachowaza ni kufanya kazi za kuwatafutia masoko ya bidhaa zao makampuni mfano naweza kwenda kampuni ya milango na madirisha...
Mkuu mashine hats ukipewa bure haiwezi kufanya kazi mpka ufunge mota na umeme ni njia 3 ongeza na jengo LA kuiweka
Sasa tafuta gharama za mota tafuta na gharama za kufunga umeme was njia 3 ongeza na jengo
Hapa lazima ujipange kidogo
Hii ni biashara nzuri sana na ina ela, kama unataka kuifanya usianze kwa kununua mashine na vitu vingine gharama ni kubwa mno na hutaweza kuifanya na kuona faida kama unavyodhan hii biashara ina mambo mengi kama zilivyo biashara nyingine
Nikushauri kitu tafuta mashine itakayoweza kusaga na...

Naomba nikuelekeze gharama za uendeshaji, gharama si kubwa maana gharama zote zinaingia kwa mlaji mfano umeme,usafiri,mifuko,maji n.k
Unachotakiwa kuzingatia ni mahindi
Mahindi mazuri yatatoa wastan mzuri yakitoa wastani mzuri ndio yayakupa faida nzuri
Mahindi mazuri yanayotoa wastani mzuri ni...
Natafuta kazi ya sales kwenye kiwanda cha kuzalisha unga wa sembe na Dona, nina uzoefu mkubwa wa masoko kwenye field hii nina uwezo wa kuuza tani 60 mpka 90 kwa mwezi nina masoko na wateja wanaoniamini na kunipenda..
Tunaweza tukawasiliana kwa maelezo zaidi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.