Nina wazo la kutoa huduma ya masoko kwa kampuni ndogo na kubwa

Jun 20, 2019
10
10
Habari wakuu..
Naomba msaada was mawazo yenu katika kufanikisha wazo langu..
Nina wazo la kutoa huduma ya masoko kwa kampuni ndogo na kubwa( ingawa si wazo geni)
Mimi ninachowaza ni kufanya kazi za kuwatafutia masoko ya bidhaa zao makampuni mfano naweza kwenda kampuni ya milango na madirisha alafu tunakubaliana niwatafutie wateja nikiwapata tunalipana kwa commission..
Nina uwezo mkubwa katika fani hii kujieleza na kumshawishi mteja
Jee? Hili limekaaje wakuu
 
njoo nikupe kazi ya kusambaza mifuko ya kaki, nakulipa kwa kila mzigo,mzigo upo dazeni 20, ukimaliza unakula buku kumi faster
 
imekaa poa mkuu kikubwa ni kuwa na uhakika wa uhitaji wa hivyo usemavyo pia ni lazima ujue wafanyia wapi maana sehemu nyingine hii biashara haitoki hata iweje mfano vijijini
 
Wazo zuri,ila changamoto ipo kwenye kupata wateja....hakuna kampuni inayokataa mauzo
 
Habari wakuu..
Naomba msaada was mawazo yenu katika kufanikisha wazo langu..
Nina wazo la kutoa huduma ya masoko kwa kampuni ndogo na kubwa( ingawa si wazo geni)
Mimi ninachowaza ni kufanya kazi za kuwatafutia masoko ya bidhaa zao makampuni mfano naweza kwenda kampuni ya milango na madirisha alafu tunakubaliana niwatafutie wateja nikiwapata tunalipana kwa commission..
Nina uwezo mkubwa katika fani hii kujieleza na kumshawishi mteja
Jee? Hili limekaaje wakuu
Safi sana mkuu..njoo pm tufanye kazi
 
Safi
 
Back
Top Bottom