Recent content by Alice 18

  1. A

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali: Nimechaguliwa katika US Green Card

    Ulishinda mwaka gani ndugu?
  2. A

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali: Nimechaguliwa katika US Green Card

    Ukifika upo mwenyewe kaka hawakugaramii chochote. For more info tembelea website ya BritSimon kuna taarifa nyingi za mchakato mzima mpaka ukishafika US.
  3. A

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali: Nimechaguliwa katika US Green Card

    Bado mkuu ndo nimecheza lottery mwaka huu but nilitaka tu kujua ivi vitu ili kujipanga mapema in case ukibahatika. Vp ww tayari
  4. A

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali: Nimechaguliwa katika US Green Card

    Hongera sana Dibaji! Mi nisha-apply ila kwenye kupitia website mbalimbali ndo nikaona hio issue ya $10,000 na nikataka kujua ubalozini wanakubali uwe na amount kiasi gani as proof of financial self sufficiency. Vipi kuhusu vaccination lazma ufanye zote premier care au unaweza fanya hospital...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali: Nimechaguliwa katika US Green Card

    Mchakato wako unaendeleaje ndugu? Hivi issue ya proof of financial self sufficiency inakuaje kwa TZ embassy..nackia unahitaji kuwa na around 10,000$ or otherwise uwe na sponsor USA
  6. A

    JamiiForums Tanzania Haya kwa wale wanaotaka kwenda kuishi amerika na kuapata green card Uraia wa Amerika

    Ila nackia unahitaji proof ya financial self sufficiency ili ukifika US usiwe tegemezi
  7. A

    JamiiForums Tanzania Haya kwa wale wanaotaka kwenda kuishi amerika na kuapata green card Uraia wa Amerika

    Hivi tuseme umekuwa selected kwenye dv lottery na huna mtu unaemfahamu USA akupokee japo pesa ya kujikimu unayo inakuaje?
Back
Top Bottom