Recent content by Aliccia

  1. A

    JamiiForums Tanzania Meneja tanesco arusha unafanya kazi au umelala?

    unakurupuka mkuu. mafundi waliokuja kuchukua transfoma walisema ni matengenezo madogo tunashangaa ni wiki sasa huu sio mgao ni uzembe tu wangetutangazia tuelewe.AU meneja ni wewe?
  2. A

    JamiiForums Tanzania Meneja tanesco arusha unafanya kazi au umelala?

    Leo ni siku ya tano wakazi wa Moshono CR mpaka darajani hatujaouona umeme!!! Hukutoa hata taarifa kama kutakuwa na katizo la umeme. Tunakuomba meneja uchukue hatua kumaliza hili tatizo. Nawakilisha. :angry:
  3. A

    JamiiForums Tanzania Nitafurahi sana kama nitampata binti/mwanamke huyu!!

    Wewe usingezaliwa ungemsababishia mama yako ugonjwa wa ajabu. Bora alikuzaa atoe maradhi.
  4. A

    JamiiForums Tanzania Ananipima au hanitaki?

    Uhusiano wetu una miezi sita. Sitaki sherehe kubwa.
  5. A

    JamiiForums Tanzania Ananipima au hanitaki?

    Heshima kwenu wanajamvi. Umri wangu unakaribia 30. Nina mpenzi ambae tulipanga tufunge ndoa siku za karibuni. Ajabu ni kwamba sasa hivi anataka nimzalie mtoto ndoa 'itakuja tu'! Napata wasiwasi. Nimeshamkatalia ila naona hanielewi. Sasa hivi hataki kuongelea ndoa tena! Anachotaka ni mtoto...
Back
Top Bottom