Wana jamii hili suala la kumleta mchungaji janja janja kama Hananja ni dalili za kupotea na kutokujua unachofanya.
Let be honest ivi kweli mtu unamleta mchungaji Hananja ndo aje kuombea ufunguzi wa kampeni au Mwamposa kweli iyo inaingia akilini? Hizi ni dalili za wazi Rais kapotea ndo maana...
Ndugu Wana jamii nawasalimu wote kwa pamoja....!!
Hivi Wana jamii huyu Marekani anawatafuta nini wa Venezuela? Anajua anachokoza moto usiozimika kirahusi au ndo kujitoa ufahamu tu?
Kwanza alimletea chokochoko mchina uzuri wake wachina huwa wanacheka na kima wakamkaushia, akatoka hapo akaleta...
😂😂😂😂😂😂
Jipige kifua mara 4 useme Mimi ni mpumbavu, fala, denzi, mjinga alafu fala kwenye hii dunia
Mpaka mkeo anakupiga picha tena za makalio jua kuna kipindi alikuwa anagawa penzi kwa mtu mwingine wakati wewe umelala hujitambui
Mwanamme nikulala kwa machale unalalaje kama mtu aliyekufa?
Habari za kwenu Wana jamii.....!!!
Katika pita pita kwenye mitandao ya kijamii nikakutana na habari hii yakusikitisha ila kilichonisikitisha zaidi ni taarifa ya habari hii kutolewa maamuzi ya mwisho yaliyo niacha na maswali kadhaa
1. Ni kweli kijana huyu mwenye umri mdogo, mke na mtoto Mmoja...
Umefanya jambo jema sana kuomba ushauri....!! Mimi nakupa ushauri ulio gawanyika katika sehemu kuu 2
1. Mkeo mwache ila hakikisha unatupatia namba yake ya simu pamoja na handle yake ya iyo TikTok kwa maana kwamba tuweze kumliwaza pindi ambacho wewe umemwacha hii itamsaidia kupunguza maumivu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.