Recent content by alibaaliyo

  1. A

    JamiiForums Tanzania Hapa nani kaingia kwenye mfumo?

  2. A

    JamiiForums Tanzania Unakosea, Unakosea na nasema tena Unakosea wenye Akili hawashindani na 'System' Kibwege (Kipumbavu) hivi..shauri yako!!

    Kwa hiyo CIA ilianzisha dokezo la kumaliza Apartheid?. Usidogoshe mchango wa kuondoa sera za ubaguzi wa Mandela, wana Afrika ya kusini na wengineo.
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kuchelewa kwa pension zinazolipwa na Hazina

    Pension zinazolipwa na Hazina kwa Wastaafu zimekuwa zilicheleweshwa bila taarifa kwa wastaafu. Hadi sasa tarehe 12 July 20124, pension hizi hazijapatikana. Pension hizi huwafaa wastaafu katika maswala mbali mbali kama chakula, matibabu na nk. Hivyo kitendo cha kuchelewesha pension hizi...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Nilichobaini kwa watu wa Njombe

    GoldDhahabu unasema kweli. Kuna jamaa alienda njombe kwa masuala ya posa . Aliporudi alituambia amekuta watu wa Njombe ni wachapa kazi sana. Wote waliokuwa nao waliishangaa kuona biashara zilianza kuchangamka tangia mapema asubuhi kinyume na mijimingi hapa cnini Tz. NJOMBE OYEE. Sent from my...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Kasi ya ongezeko la wajane yashtua, Kagera yaongoza

    Sio kweli. Huwezi kuchukulia maongezi ya rafiki yako ukaweka mjumuiko. Pia luridhi shamba ni process sio kama mali za mjini. Mjane hawezi kuridhi shamba la migomba bila taratibu za kimila kufuatwa. Shamba la migomba sio duka au nyumba ya matehemu baba.
  6. A

    JamiiForums Tanzania Kasi ya ongezeko la wajane yashtua, Kagera yaongoza

    Siamini ktk utafiti huu.
  7. A

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday to me, kwaheri ujana. Sasa ni muda wa busara za kiutu uzima

    Mpendwa Heriel, salamu. Hongera kwa siku yako ya kuzaliwa. Mimi ni mjadi sisherehekei siku ya kuzaliwa kwani wazazi wangu hawakuwahi kusherehekea wala kuandaa sherehe ya kuzaliwa kwangu. Kijijini kwetu sikuwahi kusikia au kuona familia au mtu binafsi anasherehekea siku yake ya kuzaliwa. Hata...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Makosa makubwa; Nembo ya Taifa imebadilishwa kwenye mihutasari mipya ya masomo Shule ya Msingi

    Trainee hongera sana kwa kupiga kelele kuhusu suala muhimu kwa taifa letu. Usichoke kusahihisha mambo kama kuna utata.
  9. A

    JamiiForums Tanzania Kuwekwa kwa somo ya Kiislamu kwenye Tahasusi kunaashiria nini?

    Sio kamari ni kamati
  10. A

    JamiiForums Tanzania Kuwekwa kwa somo ya Kiislamu kwenye Tahasusi kunaashiria nini?

    Ndugu zangu Watanzania masuala ya kidini yaendelee kama tulivyokuwa.Taasisi za dini ziwajibike kufundisha masomo ya dini. Tuna mifano hai ya taharuki ya migongano ya dini nchi hii. Karibuni, miaka ya 2012 hadi 2013 tulikuwa na taharuki ya UCHINJAJI. Geita mauaji yalitokea. Maeneo mengine...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Wazazi na walezi Dodoma wameshirikishwa katika hili la watoto kulishwa chakula cha msaada kutoka USA?

    Tumeshindwa kuwalisha?. Tumewazaa, tumewakuza, tushindwe kuwalisha?. Haki ya mzazi iko wapi?. Yaani jirani ana uchungu na watoto kuliko wazazi?. Sisi wajadi tunakuwa na wasiwas kuwa huyu jirani sio bure.
  12. A

    JamiiForums Tanzania Wazazi na walezi Dodoma wameshirikishwa katika hili la watoto kulishwa chakula cha msaada kutoka USA?

    Shule zetu za St Kayumba huwa hawali shuleni. Hata mimi nilikuwa sili chakula cha mchana shuleni nilipokuwa shule ya msingi. Wazazi na walezi tumekuwa tukishirikishwa masuala ya chakula cha watoto shuleni mara zote. Kamari za shule zimekuwa zikikaa na wazazi kuitwa na kujadili mambo kama hayo...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Wazazi na walezi Dodoma wameshirikishwa katika hili la watoto kulishwa chakula cha msaada kutoka USA?

    Wazazi na walezi mkoani Dodoma wameshirikishwa katika zoezi hili la watoto wao kulishwa chakula cha msaada kutoka USA? Hivi mzazi hana haki ya mtoto kwa chochote mwanaye anacholishwa? Nauliza bajemeni hivi mwanangu anaweza kulishwa chakula chochot bila mzazi kushilikishwa. Wazazi na walezi...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Mtaala mpya wa elimu utazamwe upya

    Huko sahihi kabisa. Mwanafunzi wa darasa la tatu anapewa notisi kibao kama mwanafuzi wa sekondari. Mwanafunzi anakaririshwa what is physics, chemistry etc? Physics is a study of matter in relation to energy. Jamani darasa la tatu?. Darasa la tatu hiyo energy hujamfundisha kwa vitendo akaijua...
  15. A

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Hivi namba za simu za TANESCO za muda wote ni zipi?. Nipo Dodoma natumia namba za simu za TANESCO zilizo kwenye contact zao nikigoggle hawapokei. Nina tatizo la umeme nyumbani kwangu. Naomba msaada.
Back
Top Bottom