Recent content by Alhadj mohameid

  1. Alhadj mohameid

    Malori

    ⛑️TANGAZO MAALUM KUTOKA UMATIDO⛑️ (Umoja wa Madereva Tipa Dodoma) 🚛 Unamiliki Lori la TIPA? Unataka lori lako lipate kazi za uhakika, lisimamiwe kwa uadilifu, na kukuingizia kipato bila usumbufu? ⚠️ USIKOSE FURSA HII! Chama cha UMATIDO kinakaribisha wamiliki wote wa magari ya TIPA kujiunga...
  2. Alhadj mohameid

    Je unamiliki tipper kuanzia SqM.15 na kuendelea fursa ni ya kwako sasa

    Yes mkuu namba zipo hapo tukiwasiliana tunaweza kukuelekeza kwa kina zaidi mkuu
  3. Alhadj mohameid

    Je unamiliki tipper kuanzia SqM.15 na kuendelea fursa ni ya kwako sasa

    ⛑️TANGAZO MAALUM KUTOKA UMATIDO⛑️ (Umoja wa Madereva Tipa Dodoma) 🚛 Unamiliki Lori la TIPA? Unataka lori lako lipate kazi za uhakika, lisimamie kwa uadilifu, na kukuingizia kipato bila usumbufu? ⚠️ USIKOSE FURSA HII! Chama cha UMATIDO kinakaribisha wamiliki wote wa magari ya TIPA kujiunga...
  4. Alhadj mohameid

    Dump truck driver (dereva wa tipper kubwa natafuta gari)

    Salaam wakuu ,huwenda nikawa nje kidogo ya mada ila nimekuja katika uwanja huu kwa lengo la kutafuta gari ya kufanya nazo kazi aina ya tipper (mende)nina uzoefu na nina kazi za kutosha hapa jijini dodoma kupindi kilichopita nilikuwa nina gari ya kufanya nayo kazi ila kwa bahati mbaya kwenye nayo...
  5. Alhadj mohameid

    Naomba kuelekezwa umbali ambao oil za castrol hutumia

    Hapo nmekuelewa vizuri sana kwa some mkuu shukran
  6. Alhadj mohameid

    Pafyumu za kupima-Utajiri nje nje!

    Salam wakuu Kwenye uhakika wa panapopatikana material ya kutengenezea perfumes za kupima na vifaa vingine kama chupa empty na vifungashio vingine naomba msaada plz wa pakuvinunua 0673654598
  7. Alhadj mohameid

    Tipper driver dodoma (tump truck driver)

    Uki Google utapata maelezo zaidi na zaidi Itracom Fertilizers LTD
  8. Alhadj mohameid

    Tipper driver dodoma (tump truck driver)

    Ni kiwanda cha mbolea cha kimaifa kinatengeneza mbolea ya kilimo ambayo inakiwango kikubwa haina kemikali (uhalisia 89% chemical 11%
  9. Alhadj mohameid

    Tipper driver dodoma (tump truck driver)

    Zinabeba mbolea ya samadi mkuu(mavi ya ng'ombe ) zinatoa kijijini zinapeleka kiwanda cha mbolea na warundi ITRACOM ,maana nina tenda Pele ya kila siku huwaga wananikodi kwa sasa sina gari ndiyo maana natafuta nirudi kuendelea kufanya nao kazi
  10. Alhadj mohameid

    Tipper driver dodoma (tump truck driver)

    Salamu wakuu, Kama nitakuwa nimekwenda nje ya mada nawaomba radhi ,mimi ni dereva wa muda sana katika ufanyajikazi wa tipper kubwa (gari za kusafirisha material ya ujenzi) nimefanya kazi chanukah,mbagara na badae nihamia Dodoma wakati mji unajengwa mpaka sasa ndiyo makazi yangu kwa bahati nzuri...
  11. Alhadj mohameid

    Tanzania inakaribia kuona mabadiliko makubwa ya kiuongozi na mfumo ambayo yatakuja bila kutegemea

    Mwenyezi mungu atuongoze na atupe subra na roho zenye uvumilivu nina uhakika mwenyezi mungu hujibu kila ombi
Back
Top Bottom