Ndio mkuu halafu waliongea wachache hata ningekuwepo halafu nataka nieleze in deep so itanigharimu kama lisaa kumaliza kueleza
Sent using Jamii Forums mobile app
Nawasilisha hii mada kwenu ndugu wapendwa
Natamani sana kuonana na Rais niweze kumshauri jinsi ya kupiga hela kwenye dhahabu badala ya kukazania ushuru ambao hauna manufaa yoyote kwa Serikali.
Nasema Serikali haiwezi kunufaika na ushuru wa dhahabu kutoka kwa wachimbaji wadogo kwakuwa...
Kweli Kilimanjaro ni ya kuombea kwakuwa wanamkasirisha Mungu siku zote, pombe, ngurue n.k vyote wamevikumbatia! jehannam haitawaacha salama.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo ni Sera za watu waliojiandaa kwenda motoni watachomwa moto mkali siku ya kiyama msifate sera zao kama huamini basi kuwa unatembelea makaburi halafu jiulizeni je kama dini inarudisha maendeleo nyuma je hutakufa uache hayo maendeleo ambayo ulifanya duniani?
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.