Recent content by Algatorr

  1. Algatorr

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum: Yanayojiri Kaskazini, maandalizi ya kusherekea Christmas na Mwaka Mpya ni fursa kwa wenyeji

    Miaka 800, yaani nipande jongoo nikae Barabaraji masaa 19!! Na hapo wamepolunguza ni masaa 24. Sina huo muda mchafu unless hiyo treni iwe ya kisasa na ya kifahari.
  2. Algatorr

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum: Yanayojiri Kaskazini, maandalizi ya kusherekea Christmas na Mwaka Mpya ni fursa kwa wenyeji

    Just imagine!! Yaani jamaa amejawa chuki na wivu balaa. Btw sisi hatuna shida ya kumchukia mtu wala hatuna time na wanao tuchukia.
  3. Algatorr

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum: Yanayojiri Kaskazini, maandalizi ya kusherekea Christmas na Mwaka Mpya ni fursa kwa wenyeji

    Relax Loser, Relax utapata Heart attack. Punguza chuki na wivu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  4. Algatorr

    JamiiForums Tanzania Middle East IRGC commander threatens to destroy Israel

    Iran is just a Barking Dog hawana ujasiri wa kuivamia Israel.
  5. Algatorr

    JamiiForums Tanzania Kwanini historia ya Zanzibar ya kweli haisomeshwi?

    Kwani Mkuu historia ya wazungu huku Africa haifundishwi!? Mbona na wazungu wanapondwa vibaya sana na hata mazuri yao yanafundishwa kama ni kitu kibaya!? wao walijenga shule, college, hospitali, madaraja, barabara na reli na bado vinpondwa vinaitwa tools for collonial Economy!! Hata wamissionary...
  6. Algatorr

    JamiiForums Tanzania Kwanini Historia ya Wachagga inafichwa Sana?

    Kama huna akili huwezi kufanya biashara na ukafanikiwa hasa kwa mazingira magumu na yasiyo rafiki kwa wafanyibiashara kama ya hapa tz. btw Hawa jamaa sio kwenye biashara tuu hata ukienda kwenye sekta binafsi bado waajiriwa wengi ni wao achilia mbali vyuo vikuu.
  7. Algatorr

    JamiiForums Tanzania Kwanini Historia ya Wachagga inafichwa Sana?

    Ni kweli hakuna kabila la wameru, wameru wamechanganyika kidogo na wamasai ila mila na desturi zao hazina tofauti na mila za kichaga hadi vyakula na mitazamo.
  8. Algatorr

    JamiiForums Tanzania Kwanini Historia ya Wachagga inafichwa Sana?

    Ha ha haaaa... Hivi ulishawahi kwenda uchagani!?
Back
Top Bottom