Recent content by Alfredmtanzania

  1. Alfredmtanzania

    JamiiForums Tanzania Lissu: Serikali hii (ya Magufuli) ni ya hovyo, huyu dikteta uchwara anahitaji kupingwa na kila mwananchi

    Huyu jamaa atasababisha nchi kuingia kwenye machafuko serikali ichukue hatua stahiki dhidi yake ana hatarisha usalama wa taifa ni mtu hatari asiachwa hivi hivi atatuvuruga watanzania. Post sent using JamiiForums mobile app
  2. Alfredmtanzania

    JamiiForums Tanzania Ahsante media kwa kumuunga mkono Makonda

    Safi sana channel 10 huo ndo uzalendo Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
  3. Alfredmtanzania

    JamiiForums Tanzania Another BossLady in the House, Hodiii

    Husna weka picha unayo onekana clear bila miwani ili kuondoa doubts za kuwa ww ni mwanaume.
  4. Alfredmtanzania

    JamiiForums Tanzania Shy-Rose Bhanji aendelea kububujikwa machozi dhidi ya maamuzi ya Magufuli

    Hapa kutakuwa na namna Mh sio katili kiasi hicho ukizingatia huyu dada ni mwanaharakati wa mda mrefu.
  5. Alfredmtanzania

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Rais Magufuli ina upendeleo maalum kwa Paul Makonda? Kwanini hili liwe la kipekee kwake?

    Huu ni utovu wa nidhamu huwezi kumkashifu mkuu wa nchi pamoja na watenda kazi wake kwenye social network Pia ni kuipotosha jamii,unaiaminisha jamii mambo ambayo sio sahihi.
  6. Alfredmtanzania

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima apekuliwa na Polisi nyumbani kwake, bado anashikiliwa kituoni

    Yamakagashi uko upande upi wa dunia?
  7. Alfredmtanzania

    JamiiForums Tanzania Amri ya kukamatwa wakina James Delicious zazagaa ulimwenguni

    Sodoma na Gomola ilichomwa moto kwa sababu ya uchafu kama huu,bora tukose hata hiyo misaada kuliko ku-entertain ushoga kwenye taifa letu.
  8. Alfredmtanzania

    JamiiForums Tanzania Sakata la Lissu: Wabunge wa Upinzani watoka nje ya Ukumbi wa Bunge

    Sijapenda hii tabia ya kususa.
Back
Top Bottom