Recent content by Alfred_Cpr

  1. Alfred_Cpr

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa hesabu, Kuna magari mangapi yaliyosajiliwa Plate Number A mpaka E?

    Kuna herufi kama I na O sijawai kuziona kwenye platenumber
  2. Alfred_Cpr

    JamiiForums Tanzania Misaada ndugu zangu

    Actualy username ni form 4 index number pasword anaweza kwenda kwenye option ya forgot pasword afuate maelekezo, lamsingi awe na email aloitumia kufungua acount ya OAS
  3. Alfred_Cpr

    JamiiForums Tanzania 10 things to avoid if you want to grow

    I like this
  4. Alfred_Cpr

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna kipengele cha ku-attach affidavit unapofanya maombi Bodi ya Mikopo (HESLB)?

    Hiyo haitajiki, kinachohitajika ni application code baada ya kuhakiki cheti cha kuzaliwa kule RITA
  5. Alfred_Cpr

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimepoteza majina kwenye simu yangu

    Kama ulikua unatumia smartphone ya Android jaribu kuweka email yako kwenye simu mpya kisha uangalie kama yapo. NB: Hii ni kama kwenye simu ya mwanzo ulikua una save hizo namba kwenye email.
  6. Alfred_Cpr

    JamiiForums Tanzania Narudia tena: Kijana acha uzinzi

    Habari, Jamani uzinzi ni dhambi. Hata kumtazama mtu kwa kumtamani MATHAYO 5:28
  7. Alfred_Cpr

    JamiiForums Tanzania Unatumia app au browser kuingia JamiiForums?

    Me sina smartphone ila naenjoy na kabatan kangu kana opera mini, naipata JF fresh sana
  8. Alfred_Cpr

    JamiiForums Tanzania Unatumia app au browser kuingia JamiiForums?

    Tunaipataje ya zamani sasa
  9. Alfred_Cpr

    JamiiForums Tanzania Unatumia app au browser kuingia JamiiForums?

    Habari mdau mwenzangu wa JF, natumai uko poa. Ningependa kujua unaingia huku kupitia app ya jamiiforums au website yao ya
Back
Top Bottom