Recent content by Alfa0001

  1. Alfa0001

    Postal code na street address

    Habari wakuu, kwenye kitambulisho cha NIDA ni namba zipi zinasimama kama postal code na ni namba zipi zinasimama kama street address
  2. Alfa0001

    Je pesa ndio Mungu wa dunia hii ( is Money the true God of this planet?)

    Watu hawaitumikii pesa Wanazitumikia tamaa zao mf zinaa, nyumba nzuri, gari ya kifahari nk
  3. Alfa0001

    Naomba ushauri nimepoteza uwezo wa kujiamini

    Jifunze kutokana na makosa Sehemu kubwa ya makosa ni vile unaanza jambo bila uzoefu Kwenye kushindwa kwako, lipo jambo umejifunza Hilo ni tofali tayari kwa ajili ya ujenzi mpya Usisite kuanza upya bila kujali hali, mazingira, maoni ya watu nk Unaanguka kwa muda, then unasimama tena Safari...
  4. Alfa0001

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Nikiingiza namba inaniambia 'Invalid agent number'
  5. Alfa0001

    Mashine ipi nzuri kwa Stationery kati ya Canon na Xerox?

    Mfano, Canon 2224 (new) ambayo kwa gharama ni 1.5m, itafaa kwa kukizi uhitaji wa matumizi ya ofisi au order za mashuleni?
  6. Alfa0001

    Mashine ipi nzuri kwa Stationery kati ya Canon na Xerox?

    Wakati tayari na printer ya epson L850.
  7. Alfa0001

    Mashine ipi nzuri kwa Stationery kati ya Canon na Xerox?

    Asante sana, na kwa canon, toleo lipi lenye bei ya wastani litafaa zaidi
  8. Alfa0001

    Mashine ipi nzuri kwa Stationery kati ya Canon na Xerox?

    OK, asante sana Kuna haja yakuwa na printer pembeni kama epson au kwa sehemu kubwa yenyewe inakidhi mahitaji
  9. Alfa0001

    Mashine ipi nzuri kwa Stationery kati ya Canon na Xerox?

    Habari wakuu, Ningependa kujua machine ipi ni nzuri kwa matumizi ya stationery, Canon au Xerox Pia nahitaji kiasi gani kupata machine yenye ubora, ya wastani, yaani isiwe chini sana wala isiwe ya gharama sana
Back
Top Bottom