Recent content by alexxis

  1. alexxis

    JamiiForums Tanzania Tunda atangaza Ndoa na Young Dee

    tunda76
  2. alexxis

    JamiiForums Tanzania Nipo njia panda sijajua ni chague nini?

    mm ni msichana wa miaka 19 nimemaliza form 6 mwaka huu nilisoma shule ya washichana Marian girls mchepuo wa PCM nikafanikiwa kuondoka na div 2.Tatizo linalo nikumba saiz nimechaguliwa chuo cha ifm lakini wameni select katika coz 2 (IT na banking &finance) natakiwa nichague coz moja kati ya hzo...
  3. alexxis

    JamiiForums Tanzania Ni biashara gani inalipa ukipeleka SONGOSONGO au LINDI?

    asante sana mkuu.na vipi mzunguko wa pesa kwenye kisiwa cha songosongo
  4. alexxis

    JamiiForums Tanzania Ni biashara gani inalipa ukipeleka SONGOSONGO au LINDI?

    nataka kupeleka pochi na viatu vya kike mkuu
  5. alexxis

    JamiiForums Tanzania Ni biashara gani inalipa ukipeleka SONGOSONGO au LINDI?

    Naomba msaada wa ushauri waungwana.Ni biashara gani ukipeleka haya maeneo inalipa sana.
Back
Top Bottom