Recent content by Alexism

  1. Alexism

    JamiiForums Tanzania Kwa mwendo huu, sijui kama ATCL itamudu ushindani wa kimataifa wa biashara ya anga

    Mfano..kua nchi hii wapewe wasukuma tu. Au ulivyomchongea ndugu yetu Erick
  2. Alexism

    JamiiForums Tanzania Watu wa Itifaki hasa wa Mheshimiwa Rais Dkt. JPM siku zingine hakikisheni Kosa kama hili halijirudii tena

    Yaani unamlinganisha JPM na ibada...kapimwe akili
  3. Alexism

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa SADC: Wanaharakati 48 toka Afrika Kusini, Tanzania na Zimbabwe wahojiwa na Vyombo vya Dola

    Nimekumbuka wakati wa Hitler na Mussolini waliweza kuwajengea wananchi hofu ili waendelee kuaminiwa ....aaah
  4. Alexism

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa SADC: Wanaharakati 48 toka Afrika Kusini, Tanzania na Zimbabwe wahojiwa na Vyombo vya Dola

    Daah binti bila shaka unatamani ddyu la Mbowe
  5. Alexism

    JamiiForums Tanzania Dunia nzima inatazama Tanzania, nini Afrika itafanya leo

    Tena SADC awakuwai fanya mkutano kabisa tangu ianzishwe..Ni Tanzania tu imeweza kulipa na kuaandaa mkutano wa kwanza wa SADC
  6. Alexism

    JamiiForums Tanzania SADC ni Mkutano Mkubwa, Ugeni Mkubwa, Jee Mnaonaje Wana JF Tushiriki Kwa Uzalendo?, Tuzungumzie Mema na Mazuri Tuu Kuficha Aibu ya Mabaya Yetu?

    Makundi ayo ni watawala kukutana na kukumbushana maisha yao ya ujana basi
  7. Alexism

    JamiiForums Tanzania Hivi ambaye huwa naiona hii body language ya mke wa Rais haiko sawa ni mimi peke yangu au?

    Kwani nanili ni Msukuma?
  8. Alexism

    JamiiForums Tanzania Hivi ambaye huwa naiona hii body language ya mke wa Rais haiko sawa ni mimi peke yangu au?

    Kumbe ile ID umeipiga chini...hatari
  9. Alexism

    JamiiForums Tanzania Analysis: Akili nyingi za Tundu Lissu ni akili kiduchu kwa mazingira yetu

    Huyu ni rais wa wapi mkuu?
  10. Alexism

    JamiiForums Tanzania Kongole AirTanzania, mnaimarika katika kuitekeleza ndoto ya Rais Magufuli

    Yes in S.Africa and Morroco we are using Boeing
  11. Alexism

    JamiiForums Tanzania Utekelezaji wa ilani ya CCM ya 2015 mkoa wa Kagera...

    Huyu nae si akae kimya tu... Owanyu omukyalo obunaku bungi munno alafu unakuja kupiga porojo apa na kuuza sura.
  12. Alexism

    JamiiForums Tanzania Pascal Mayalla ndiye aliyemchongea Erick Kabendera kwa dola

    Pole sana...kwani Mayalla anaposema wasukuma in wachapakazi waendelee kuongoza Taifa huo ni utaifa eti. Mwisho Mayalla tumeisha mjua tu ila kitu cha muhimu in kujua kua hakuna atakae dumu milele.
  13. Alexism

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Si wote walikuwa wezi wa mafuta

    Huo uchunguzi umefanyika saa ngapi? Hivi nani anaweza kukiri kua alikua anaiba mafuta ..huku akijua kua ni hatia? Watu weusi mnakwama wapi?
  14. Alexism

    JamiiForums Tanzania Hizi Tuhuma kwa Waziri Kangi Lugola, zina ukweli?

    Kwani tangu lini Kangi akatengana na rushwa? Mbona ata PCCB wanajua na waliwai kumtia kibindoni ila mwisho yakayeyuka
  15. Alexism

    JamiiForums Tanzania Majibu kwa Thadei Ole Mushi kuhusu kukosekana kwa Mbowe kwenye mazishi Morogoro

    Ata Mama Samia nae ana dharau maana sijamuona aisee
Back
Top Bottom