Leo katika hafla ya uapisho wa Viongozi mbalimbali pale Ikulu lipo jambo limenitafakarisha sana.
Katika kusanyiko lile walikuwepo Wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama;Mkuu wa Majeshi,IGP,Mkuu wa Magereza,DGIS na Mkuu wa Uhamiaji.
Wakati Mheshimiwa Rais alipopita kuwasalimu Wakuu hao wa...
Katiba ni kijitabu tu chenye maneno ambayo hata kwenye khanga yapo JPM kwa alivyo anaweza kufanya lolote na akaweza na hayupo wa kufanya fyoko!
Rejea manunuzi ya ndege za awali je kuna taratibu za takwa la kikatiba/sheria za manunuzi zilifuatwa!?
Mara paa,Kikwete mgombea wa uRais kwenye uchaguzi Mkuu wa 2025!
Nawaza nakuwazua lakini ndoto zinaniamisha kuwa inawezekana kabisa Jakaya akawa mgombea wa CCM 2025 endapo tu Magufuli akiweza kumpigia chapuo kwenye mkutano wa Halmashauli kuu ya CCM ili aweze kupitishwa na hatimaye kuwa mgombea...
Wazee wetu na nyinyi muachage kujifanya wajuaji.
Mark James mwandoysa aliyepata kuwa Waziri wa mda mrefu wa awamu ya tatu na ya nne inasemekana kanyimwa kibali cha kwenda kuonana na Rais toka mwezi Juni.
Chanzo cha uhakika toka watu wake wa karibu vinatabanaisha bwana mkubwa inawezekana...
Rais Magufuli amefungua msikiti wa Sumbawanga na kuwataka waislamu kuendelea kuwa wamoja na kudumisha upendo miongoni mwao na kwa wale wasio waislamu.
Kadhalika Rais Magufuli amewashukuru waislamu kwa kumpa heshima ya kufungua msikiti huo na kusema huo ni upendo wa dhati ikizingatiwa kuwa...
Eti Chama cha demokrasia na maendeleo-upuuzi !
Cecil Mwambe aliyetangaza Nia ya kugombea uenyekiti ili ashindane na Mbowe anatukanwa kama si Mbunge wao kule mitandaoni.
Baadhi yao 'wamtusio ' wamefikia hatua ya kumtusi yeye na familia yake kisa yeye kutangaza nia ile.
Mytake;Tuelezwe rasmi...
Mbunge wa Jimbo la Nkasi Mkoa wa Rukwa amemsihi Mheshimiwa Rais John Pombe Magufuli amnyonge na KUMUUA mkandarasi aliyekula pesa za mradi wa Maji wa mji mdogo wa Laela huko Mkoani Rukwa.
Amesema hayo baada ya kupewa nafasi na Mheshimiwa Rais ili aweze kueleza ni kwa namna gani hata yeye...
Akihutubia mamia na makumi ya wananchi wa Mji mdogo wa Laela Mkoani Rukwa Mheshimiwa Rais John Pombe Magufuli amehoji ni kwasababu gani amri halali ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya kuwataka Askari baadhi waliotuhumiwa na wananchi wa eneo hilo kwa matumizi mabaya ya ofisi na ulaji rushwa...
Akizungumza na waandishi wa habari Mkurugenzi wa SHIRIKA la ndege Tanzania amesema safari za Tanzania kwenda Afrika ya Kusini hazipo tena hadi itakapotangazwa vinginevyo.
'Sababu ni zile zile tu' amesema Ladslaus Matindi ambaye ni Mkurugenzi wa SHIRIKA hilo.
Hii ni kuanzia tarehe 07/10/2019 na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.