Recent content by alexander amaro

  1. A

    JamiiForums Tanzania Channel Ten: Background ya matangazo kuna sauti kuzidi taarifa ya habari inayotangazwa

    ipo radio uhuru ukiwasha chanel 10 nayo imo aitoki
  2. A

    JamiiForums Tanzania Kwa niliyoyaona njiani, wachaga mnakwisha!

    wachaga wanazikwa kwao
  3. A

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Jeshi la Polisi, Advera Bulimba ashindwa kujibu swali jepesi

    hapa tulipo tofauti ya ccm na jeshi la police aipo wakubwa wa police wakishastaafu ugombea kwa tiketi ya ccm mfano Adad Rajabu mb muheza Tibaigana hakupata muleba kange lugora mwibara isitoshe aliekuwa jaji mkuu alivyotaka urais kupitia ccm. Tunahitaji mabadiliko makubwa ya katiba yetu.
  4. A

    JamiiForums Tanzania Shule nzuri za English medium Arusha

    ada yake kwa primary ni 130000/= na baby&pre unity ni 100000 kwa muhula usafiri kwa mwezi maelewano kwa umbali wa unapoishi. wanafundishwa maadili nidham na stad za kazi pia
  5. A

    JamiiForums Tanzania Shule nzuri za English medium Arusha

    ipo shule sombetini ni nzuri sana mfumo wa ufundishaji wake ni wa juu sana inaitwa BRIGTHSOUL Ipo chini ya kanisa la kkt juu kidogo ya shule ya imani fika shuleni uwaone walimu itafunguliwa 02/05/16
  6. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini wazee wenye heshima wa taifa hili wote wawe hawamtaki Lowassa?

    wazee wenye heshima kweye hii nchi ni kina nani mtaje japo mmoja na uoneshe usafi wake wana hofu tu
  7. A

    JamiiForums Tanzania Toka kwa Wananchi: Kero na vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa

    mafisadi ni mfumo wote wa ccm ni kazi kuumaliza
  8. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini wazee wenye heshima wa taifa hili wote wawe hawamtaki Lowassa?

    wazee wa heshima ni kina nani? hapa tz uliowataja ukipata habari za mambo waliyoyafanya utazimia acha kuchokoza watu wametulia
Back
Top Bottom