Recent content by Alex Protase

  1. A

    Habari Njema kuhusu Tundu Lissu: Atoka chumba cha upasuaji akiwa vema

    Kila nikitaka kuweka comment hapa machozi yananitoka but GWS our TL Sent using Jamii Forums mobile app
  2. A

    Anayehitaji mkopo wa sh 500,000 kushuka chini anione

    Mbona kasema unarudisha ndani ya week 12 yani miezi 3 kwa riba ya 6% ni rahisi sana.
  3. A

    Maajabu ya Wabunge wetu: "Double Taxation" katika Road License, na Wabunge wanashangilia?

    Ni kwamba kodi ilikuwa inalipwa wakati wa kusajiri, kwa mfano ukilipa 150,000 wakati wa kusajiri ulikuwa unapata stika ya Mwaka nzima kwa maana unalipa Mara moja kwa Mwaka. Kwa sawa utalipa hicho kiasi wakati wa kusajiri na ndani ya Mwaka huo huo utaendelea kulipa hiyo ada kila unapojaza mafuta...
  4. A

    Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

    Kama unafanya hii kitu tuwasiliane tufanye kitu # 0753543236
  5. A

    Biashara ya Michezo ya Video (Video Games): Jifunze Uendeshaji, Changamoto na Faida Zake

    Hajakwambia wastani wa mapato kwa siku, na hizo PS zinapatikana wapi?
  6. A

    USHAURI: Mabasi yaruhusiwe kusafiri usiku

    Nakumbuka enzi za Mabasi za zainabu tulikuwa tunatoka Iringa saa moja jioni tunaingia Dar alfajiri asubuhi unaqahi mishe mishe jioni unapanda gari pale mnazi mmoja kesho ya asubuhi unapanga mzigo biashara anaendelea hakuna hela ya kulala logde hapo. Ilikuwa safi.
  7. A

    USHAURI: Mabasi yaruhusiwe kusafiri usiku

    Nakumbuka enzi za Mabasi za zainabu tulikuwa tunatoka Iringa saa moja jioni tunaingia Dar alfajiri asubuhi unaqahi mishe mishe jioni unapanda gari pale mnazi mmoja kesho ya asubuhi unapanga mzigo biashara anaendelea hakuna hela ya kulala logde hapo. Ilikuwa safi.
  8. A

    DODOMA: Mbowe azungumza na waandishi wa habari, asema Makonda hana mamlaka ya kumuita

    Karibu wa bunge aliposema utaratibu/kanuni za bunge zilikiukwa wengi tulimsifia na kumpongeza, walioitwa kuhojiwa na Jeshi la polisi wakisema utaratibu wa kuwaita ulikiukwa tunasema waende tu watajieleza huko huko. Nashindwa kushangaa.
  9. A

    Kamanda Sirro: Hadi sasa wameripoti wanne tu, ambao hawajaripoti tutawatafuta

    Kamanda Siro kataja tu Idadi ya walioriport Leo hakutaka kujiingiza kwenye kutaja majina ya wahusika
  10. A

    DODOMA: Mbowe azungumza na waandishi wa habari, asema Makonda hana mamlaka ya kumuita

    Kuna Mkuu wa Wilaya fulani alifunga baa kwa amri yake kwa sababu ya uchafu, mwenye baa kupitia kwa Wakili wake wakapinga kwamba Mkuu wa Wilaya hakuwa na Mamlaka ya kuifunga baa badala yake Bwana/ Bibi Afya ndiye mwenye Mamlaka hayo, DC alipopigwa chini akaanza kusema vi mahakama vyenu havina...
  11. A

    Biashara ya Bar inauzwa Tshs 3.5M

    Tangazo linasema biashara ya bar inauzwa sio bar inauzwa, kuhusu kuiacha wakati kodi haijaisha sababu ziko nyingi Mkuu, kuna kubanwa na majuku mengine ukashindwa usimamizi, kuna uhamisho, kuishiwa uwezo wa kupambana na washindani.nk mojawapo kati ya hizo imenikuta Mimi.
Back
Top Bottom