Recent content by alex felix

  1. A

    JamiiForums Tanzania Kinachoifanya CHADEMA ipoteze mvuto na ushawishi kwa wananchi hiki hapa

    Huna hoja ya mcngi. Na kama kufikiri inaonekana badala ya kutumia kichwa unatumia makalio. Inaonekana hata katiba, sheria, kanuni, na talatibu huvijui ktk chama vina maana gani! C,kama chama cha malofa akilala akaamuka anafikaria afisadi sehemu gani. Kuanzia kwa mzito magogoni adi kwa...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Image ya saini ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

    Umenena mwana. Hii miji2 haijui kula na kipofu. Sa,kma wanazani mas,ala wapitishe huo utumbo wao wakione cha moto. 2tatembea uchi mchana kweupe tuwaachie razi wapate kuweuka wote.
  3. A

    JamiiForums Tanzania Jamani mapenzi na chama wapi na wapi?

    Sijaona kosa lako kukaa nao kalibu, kwani kipindi hiki watu wanachumbia na kutongozana mbele ya wazazi sembuse we,lafiki tu. Achana na washamba wanao tongezeana kwenye majumba mabovu.
  4. A

    JamiiForums Tanzania tetesi:CHADEMA wauza jimbo la Chalinze, wamshabikia Ridhiwani

    Inaonekana ni jinsi gani unavyo bakw na vibwengo. Sababu cdm nichama makini na hakikurupuki kwa mambo ya kufikirika kama ww unavyo fikiri. Subiri muda mchache ujao wakutieni jambajamba ndo,mtatia adabu.
  5. A

    JamiiForums Tanzania Warioba afunguka, atoa ufafanuzi wa baadhi ya hoja za taarifa yake

    Ccm kama wafa maji vile, tunashanga kuona ni jinc gani wanavyo angaika, c,ndio walio anzisha g,55! Walifanya hivyo wakiwa wana maanisha? Endeleeni na mchezo wenu wa kishetani, lakini ukumu yenu ni hapa duniani ya mbingu itafuata.
Back
Top Bottom