Recent content by Alex D

  1. A

    JamiiForums Tanzania Je, Shahawa au Mbegu za mwanaume huwa zinakaa kwenye mwili wa mwanamke kwa siku au Masaa mangapi?

    Salamu wanajamvi! Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, napenda nifahamu mwanamke anapolala na kujamiiana na mwanaume zile shahawa, mbegu na majimaji vinapoingia kwenye uke wake huwa zinakaa muda gani?? Inajulikana kuwa uke unao uwezo wa kujisafisha na kutoa zile shahawa baada ya muda au...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Story gani katika kitabu cha dini yako unafikiri ni hadithi ya ngano tu?

    Story ya Yesu kuzaliwa Kwa nguvu za roho mtakatifu! Kwamba Roho Mtakatifu aliingia mean bikra Maria Kisha mimba ya Yesu ikatungwa. Kwa maneno menginne Maria hakukutana na mwanaune wakati anatunga mimba ya Yesu
  3. A

    JamiiForums Tanzania Rais wa Rwanda Paul Kagame awasili Nchini na kufanya Mazungumzo na Rais Samia, leo Aprili 27, 2023

    Ni majuzi nilisikia huyu jamaa wa Kigali Rwanda amekuja Tanzania Kwa ziara ya kikazi ya siku mbili. Bahati mbayasikuwa karibu na Media hivyo sikusikia makusudi ya ziara yake nchini. Wadau, naomba mnijuze, huyu jamaa Nini kimemsukuma kuja nchini? Anataka nini? Waliongea juu ya nini na mwenyeji...
  4. A

    JamiiForums Tanzania ORODHA ya halmashauri zenye wakuu wa vitengo wasio na uwezo. Je, halmashauri yako ipo hapa?

    Utakuta wenye sita wamewekwa pembeni wakifanya kazi za kawaida! Tatizo la nchi yetu, teuzi nyingi ni za mchongo; yaani who knows you! Siku hizi wanatumia neno "connection"; ambalo linamasna kama kubebwa au kuwa na ndugu anayekujua! Yaani siku hizi mtu kubebwa au kusaidiwa na ndugu au kutoa...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini ni pazuri ila ni hatari

    Report ya mwaka 2016 inasema South Africa ni nchi ya pili Kwa uhalifu baada ya USA. Pia, report hiyo inasema Kila baada ya dakika mbili kuna uhalifu unatokea waweza kuwa aidha was kuuwa Kwa silaha au ubakaji. Huko siyo pa kwenda, kule wamepinda vibaya ! Hawamjui Wala kumwogopa Mungu
  6. A

    JamiiForums Tanzania East Africa Radio mmetuanguasha wasikilizaji wenu wa kipindi cha Superbreakfast

    East Africa Radio, nataka kuuliza; Kwanini hamjaweka mupatikanaji wenu Manispaa ya Kahama? East Africa Radio ni radio kongwe ya muda mrefu; inasikika maeneo mengi nchini lakini haipatikani Kahama - Shinyanga! Kwa Nini!? Kuna vigezo Gani vya kuzingatia Ili radio kusikika maeneo fulani!? Kama ni...
Back
Top Bottom