huyo jamaa anachokiandika ana uhakika? cozwork na UE ni vitu viwil tofauti. System ya pale ni kwamba hata uwe na cozwork ya 40, UEunatakiwa upate kuanzia marks 40 kati ya 100 tofauti na hapo inakuwa technical suplementary
Habari za usiku wapendwa, mm ni mwanafunzi na niko field hapa mbeya. Nimepata ugumu katika uandishi wa riport yangu hasa katika kupata organisation structure ya hii kampuni. nimejaribu kuitafuta mtandaoni kwenye about us imenikosa. hivyo anayejua organisation structure ya TBL naomba anisaidie...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.