Recent content by alen augustine

  1. alen augustine

    Tunatoa huduma ya kuchimba visima

    Niliyesomea water supply and sanitation engineering c naweza kupata kibarua hapo mkuu
  2. alen augustine

    Matatizo ya kinanda changu

    Nina kinanda psrs 650 ila nikikiwasha kinapiga sauti kama umepga jiwe kwenye maji, nkipiga wimbo (biti) bado kinapiga kelele bila kuweka hata sauti yoyote iliyomo kwenye kinanda hicho kama unajua tatizo naomben msaada. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. alen augustine

    Naombeni ushauli kwa mdogo angu amemaliza form 4

    Mlete chuo cha maji asome water supply and sanitation engineering hakika hatajuta! Sent using Jamii Forums mobile app
  4. alen augustine

    Nawezaje kuondoa matangazo kwenye android?

    Tunaomba hiyo app ya kublock matangazo
  5. alen augustine

    Naomba kufahamishwa

    Ni application gani nzuri ambayo itaweza kukusaidia kupata simu yako kama imeibiwa au kupotea
  6. alen augustine

    Nataka kwenda kusoma Uganda, je nikasome tahasusi gani?

    Upande wa sayanc hwez ksoma coz kna baadh ya shule wanahtaj credit zote kwenye combination yako labda shule za vijijin ndo unaweza ksoma hyo sayansi lakn matokeo yako form 6 unaweza kuungua
  7. alen augustine

    Batch ya Pili ya Majina ya Wanafunzi waliochaguliwa Kujiunga na Diploma katika Chuo cha Maji

    Mbona mkuu batch ya 3 imechelewa sana kwa walioomba diploma Sent using Jamii Forums mobile app
  8. alen augustine

    Msaada juu ya kutuma maombi ya vyuo

    Tarehe 20 /09 Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
  9. alen augustine

    Nataka kwenda kusoma Uganda, je nikasome tahasusi gani?

    Jipange kikamilifu maana na hko c mchezo na kama una uwezo nenda st, Henley's kitovu ipo masaka, Bukalasa seminar, masaka sec, kiteredde sec, kitende sec, London collage Kampala, meryland entebe, uganda martyrs etc Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
  10. alen augustine

    Majina waliotuma MUST online na kwa njia ya posta pita hapa

    Namimi nimeona jina langu incomplete kwahyo naweza kutuma Tena au ndo bas nimeisha Sent using Jamii Forums mobile app
  11. alen augustine

    Msaada juu ya kutuma maombi ya vyuo

    Kama ni sayansi aende chuo cha Maji ubungo Sent using Jamii Forums mobile app
  12. alen augustine

    Batch ya Pili ya Majina ya Wanafunzi waliochaguliwa Kujiunga na Diploma katika Chuo cha Maji

    Asant mkuu sasa nlikuwa naulizia kuhusu Majina mengine yatatoka lini maana wengine ndo tumeaply hapo na hatujaaply pengine tukitegemea tutadahiliwa asante Sent using Jamii Forums mobile app
  13. alen augustine

    Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2017/18

    Habari wana jf, Kuna dogo alipata phz, bios, na chemistry D, D, D. Na math B sasa et anataka asome medicine certificate ila sasa sijui kama anaweza kusoma diploma na akisoma anaweza kutumia njia gan ili aisome Sent using Jamii Forums mobile app
  14. alen augustine

    Ardhi University: Kwa Wanaosoma Kwa Malengo

    Kwahyo mkuu kama mtu amemaliza form 6 ila HGE na anaweza kupata nafasi kwenye hicho chuo na anaweza kusoma course ipi Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom