Batch ya Pili ya Majina ya Wanafunzi waliochaguliwa Kujiunga na Diploma katika Chuo cha Maji

Asante mkuu ngoja nijaribu online maana nikija apo itakua yaleyale tu hawanipokei labda sikuwa na mwonekano mzuri wa kuwavutia
Nimekaa mtaani nimemwaga zege sana ilo jengo lenu refu apo ili nipate pesa nisome
Nmehitimu form six 2015 PCB
Nilifaulu sema uchumi wa nyumban ikawa kikwazo
Naitaka sana course ya water quality and lab technology

Sent using Jamii Forums mobile app
Habari. Natumaini ulifanikiwa.
 
Back
Top Bottom