The last time I heard James Worthy live too on radio.. that was months ago. Heading to a Christmas matchup against Cavaliers they had those GS players on three consecutive days. I think that's good for a start. And what I meant is, this shall help for future NBA clinics if at all these media are...
At least NBA players and Coaches are now starting to be interviewed in our Medias. This will attract them to come for Clinics. Heard Steve Kerr, Klay Thompson and David West on Clouds Fm
Durant has a two season deal bro with an option to leave in free agency. CURRY will sign this season his max deal without any luxury taxes for the warriors because three max players are draft players for the Warriors. So if Durant would need a Max pay after that Warriors can take the luxury...
However is doubting what Klay Thompson did... His defence was spectacular. Cavs shot 1-11 when guarded by Klay. And man he defended against LeBron and Klove in different occasions.
Kilinge kina watu wengi pia siku hizi safi sana.. Lakini muda wangu wa kuvurugana na Raimundo Nzi Tyta Steph Curry Mag3 utafika tu.. bado kidogo gari halijashika moto Ambitious karibu sana ila naona unagive up mapema sana. Mwaka jana usingekaa humu
Aisee nimekurupushwa na bei ya perfume ya Diamond nikakumbuka kilinge changu.. Yule Paul George anajihisi ni Lebron kabisa daaahhhhh.. anyway Hats off to the King, his performance was outstanding.. Nomaa
Nilikuwa napata elimu kidogo ya kibiashara sehemu, na jambo kubwa lilikuwa namna ambayo Diamond kaja nayo juu ya Perfume yake, nimemfikiria Diamond kwa sababu ni staa kama wanavyoweza kuwa mastaa wa michezo pia wakaanzisha biashara zao.
Swali kubwa lilikuwa bei lakini pia Chapa (brand)...
It's KD being added to that best roaster man. Remember the shots which didn't fall for Barnes will now be executed by KD. That's a very different case and which will make Curry even free. Mwaka jana alikuwa ndo focal point and you went so hard on him na he struggled kwa sababu you could switch...
Have you forgotten with KD, Warriors was the best defensive team, best offensive team, led in assists, led in steals, led in blocks and deflected passes leading to fast breaks. This has since changed since he went down. Naona hapa ubora wa Warriors unaozungumziwa akikosekana ni ile funny and...
Kd adds toughness. Yaani pamoja na ubora wa Warriors bado kuna ile element ya mtu mmoja ambaye anaweza kwenda toe to toe na LeBron James kuondoa ile fear factor and dominance. There's no doubt that LBJ Is the best player in the world. Sasa you need someone to at least put him at bay. KD has...
Nilikuwa nimeamua kuwaza ujinga leo. Finals mara Paap hawa hapa Cavs. Second Unit Iwe ni Shaun, Iggy, McCaw, Kevin Durant, Mcgee. Ili hii chemistry ya kwanza ibakie kama ilivyo. Yaani Curry, Thompson, Dirty Barnes, Green na Zaza.
I'm just thinking
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.