Recent content by aldoniah

  1. A

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: UKUTA umedhihirisha CCM sio chama cha siasa

    haya yote yanatokea sababu kubwa ni nyerere hakuweka misingi mizuri ambayo endelevu kwa chama kile na nahisi alifanya hivyo na kuficha vitu vingi katika utawala wake kwa kuwa na yeye alikuwa na maovu......binafsi mpaka sasa sijaona mabadiliko zaidi ya kuona majigambo kwenye vyombo vya habari tu...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Rais Magufuli, Kuna kijana unayemuamini sana ambaye yumo kwenye kundi la kukuangusha

    bro sio 'kuyunga'' ni kutunga samahani lakini
  3. A

    JamiiForums Tanzania Siwezi kufanya Mchezo huu hata kidogo!

    ulieandika huu uzi baada ya kuusoma nimegundua yafuatayo kutoka kwako 1.umetumia siku tatu kutunga huu uzi ili angalau ulete maana ila umeshindwa 2.unaonekana mmbeya maana umezungumza linalokukereketa ambalo sisi halituhusu na wala hiyo operesheni ukuta haikuhusu pia 3.umejaribu kuwaaminisha...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Chama cha waalimu chamuunga mkono Rc Mtaka kuhusu walimu wakuu kuongeza wanafunzi hewa

    wana jf samahani kwa usumbufu mi nina swali ambalo lipo nje ya uzi apo juu,nimeapply vyuo vya afya ngazi ya diploma ya medicine na ktk vyuo nilivyoweka KIU kimoja wapo sasa leo nimesikia tetesi kua kile chuo chenga naombeni msaada ktk hilo anayefahamu ili jmbo
  5. A

    JamiiForums Tanzania Lusinde: Wapinzani wanaoenda kumuona Spika ni wanafiki, wanamchonganisha na Naibu Spika

    Hahahaha mbavu zangu mie yaani muheshimiwa huyo anongea upumbavu kama huu sijui uko bungeni anaongeaga nini?...haya wana mtera 2020 mchagueni tena eenheeee
  6. A

    JamiiForums Tanzania Hivi watanzania tutaendelea kuwa wajinga mpaka lini?

    unataka kujua wzungu wana nguvu ya ushawishi kiasi gani mfano huu apa mzungu akitoka kwao akija hapa akavaa ndala na kikaptura anaweza kuingia ofisi yoyote ya serikali na akanyenyekewa anaoneka kama nabii lakini mtu mwenye kipilpili(mbongo) atafukuzwa kama mbwa huo mfano mdogo tu unaonesha jinsi...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Ripoti: 61% ya Wahitimu wa vyuo vikuu wana uwezo mdogo kimaarifa

    hii ni kweli asilimia 100% mfano chuo kile cha TIA kilichopo pale uhasibu ukipita pale unakuta wasomi wetu wanashindana kubadilisha ''viduku'' nguo na mademu/wanaume hata maongezi yao ukiyasikiliza yamejaa anasa na utumbo aibu tupu
  8. A

    JamiiForums Tanzania msaada kuhusu rao na st.bhakita healthy instute

    habari wana jf wenzangu samahanini kwa usumbufu mwenzenu ni mgeni na ninaomba kujua au kufahamishwa kwa undani kuhusu chuo cha rao healthy training center kilichopo wilaya ya rorya mkoa wa mara pia chuo cha st.bhakita healthy instute kilichopo rukwa nataka kufahmishwa mazingira ya vyuo vyote...
Back
Top Bottom