Kiusalama haiwezi kuwa sababu kubwa sana kwa sababu nchi yote imechafuka ila sababu kubwa ni umbali kwenye vita hutakiwi kutembea umbali mrefu,kutoka Khartoum mpaka Cairo ni km 2000+ wakati kutoka Khartoum mpaka Gondar ni km 625
hizo ni luxury basi ila ni za kibabe sana,humo ndani unaambiwa pupwe lililopo sio la nchi hii[emoji2],ziko safe sana hizo gari,wanaojua magari wakiangalia tu watajua.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.