imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 61,235
- 98,461
Mahakama gani Hizi za CCM?Nenda mahakamani

Sukuma gang mnachuki sana na mama Samia lkn hamyofanikiwa.Rais Mwinyi ni mbunifu na haogopi kusimamia kile anachokiamini kama vile alivyokuwa Hayati Magufuli, ndiyo maana unaona miradi ya maana sana imekamilika Zanzibar ndani ya miaka 3 tofauti na bara ambako kila kitu ni siasa, danadana na makongamano yasiyoisha.
Kama muumini mkubwa wa kutumia akili vizuri ili kupata maendeleo makubwa napenda kumpongeza sana Rais wa Zanzibar kwa anavyoitengeneza Zanzibar iwe na uchumi mkubwa unaojitegemea miaka ya mbeleni.
Rasilimali kubwa inayompa maendeleo ya kweli mwanadamu ni akili. Rasilimali si madini, si maliasili maana unaweza ukawa navyo vyote ila kwa kukosa akili vinaweza kutokupa maendeleo ya kweli.
Zanzibar wameweza kulithibitisha hili kwa kuwa wametumia akili kujua kuwa fursa ya utalii ndo njia inayoweza kuwapa mapato makubwa sana huko mbeleni na kuepuka utegemezi hivyo wameamua kuwekeza kweli kwenye utalii hasa kuvutia wawekezaji ambao wanajenga mahoteli yenye hadhi ya juu kabisa kwa ajili ya kujitengeneza kama sehemu kuu ya utalii katika kanda hii ya Afrika.
Kusema ukweli nimevutiwa sana na miradi mikubwa ya ujenzi wa hoteli kubwa na za kisasa kabisa inayoendelea kujengwa Zanzibar. Miradi hii inaitangaza Zanzibar zaidi, inaifanya Zanzibar ijulikane zaidi duniani na kuvutia watu wengi kuitembelea Zanzibar na kuihakikishia kuwa na mapato makubwa na ya uhakika huko mbeleni kiasi ambacho kitaondoa utegemezi wa Zanzibar katika misaada na hata mikopo.
Zanzibar wameshagundua kuwa sehemu ya kuitumia kutoka kiuchumi ni Utalii na wanafanya kweli.
Tukija kwa Tanzania bara huku ndo kuna mabingwa wa maneno, kujisifu, kulalamika na kupiga pesa. Huku hadi sasa ni kama mtu ambae bado anajitafuta na hajajua aweke nguvu kubwa kwenye nini ili kujihakikishia kupata mapato makubwa siku za mbeleni na kuondokana na utegemezi wa misaada na mikopo kichefuchefu.
Huku kila kitu tunafanya alafu mbaya zaidi tunafanya bora liende. Hakuna kitu ambacho tunafanya kwa nguvu na akili kubwa tena kwa ufanisi kiasi ambacho tunaweza sema hiki ndo tunakifanya ili kututengenezea mapato makubwa kwa ajili ya kuondoa utegemezi huko mbeleni.
Ninachosikitika zaidi miradi mingi ya huku bara sio miradi ya kutengeneza fedha na mapato huko mbeleni, miradi mingi ya huku ni kwa ajili ya kutumia tu pesa kujenga majengo ya shule, ofisi, miundombinu ambayo huko mbeleni itahitaji maintenance na repair ambazo zitahitaji pia pesa ambazo bado hatujatumia akili zetu kujua tutazipata wapi kwa miaka mingi huko mbeleni.
Naisikitikia sana Tanzania Bara maana kusema kweli siioni ikiendelea kuwa sustainable kiuchumi kwa miaka mbili mbeleni.
Viongozi wa Tanzania Bara siwaoni wakitumia akili vizuri walizopewa na Mungu kuwaza, kupanga na kufanya mambo makubwa tena kwa ufanisi mkubwa kuihakikishia nchi inakuwa na mapato makubwa huko mbeleni na kuondokana na utegemezi.
Kwani Zanzibar ipo UAE?Hadi awe Rais wa Tanzania ndio tutatoa shukrani
Siyo watanganyika wote wasiyo jifahamu,Niubunifu mzuri kubeba mabilioni yaliyokopwa na Tanganyika, huku watanganyika wasiojielewa wakiendela kufa na er nino
Wameanza kujitajaKumbe Mwinyi kaletwa na Dikteta uchwara tulifikiria alichaguliwa na wananchi wenyewe ktk uchaguzi feki. Asante kwa taarifa.
Kuni ziongezwe huko aliko kwa kupora mamlaka ya watu na mauaji ya wasio na hatia
Wewe kachukue form tu mengine niwachie mimiMwinyi alichaguliwa na Wazanzibar au aliteliwa na Magufuli kwenda kuwa Rais Zanzibar?
Hapo ndiyo tunaiona Dubai ya TanganyikaKulwa Jilala hivi ulitegemea Mwinyi ashindwe kufanya miradi na kukamilisha wakati anasapoti ya kifedha toka Tanganyika? Shughuli zote za miradi ya Tanganyika imehamia Zanzibar
Thubuuutuuuu na Mungu akasema nooooooKuna mijitu ilidhani itaishi milele!
Akaitwa yeye tu awe muongoza njiaMuuaji ndiyo alifikiri ataishi milele
Akaitwa yeye tu awe muongoza njia
Tubadilishane Samia aende Zanzibar na Dk Mwinyi aje baraRais Mwinyi ni mbunifu na haogopi kusimamia kile anachokiamini kama vile alivyokuwa Hayati Magufuli, ndiyo maana unaona miradi ya maana sana imekamilika Zanzibar ndani ya miaka 3 tofauti na bara ambako kila kitu ni siasa, danadana na makongamano yasiyoisha.
Kama muumini mkubwa wa kutumia akili vizuri ili kupata maendeleo makubwa napenda kumpongeza sana Rais wa Zanzibar kwa anavyoitengeneza Zanzibar iwe na uchumi mkubwa unaojitegemea miaka ya mbeleni.
Rasilimali kubwa inayompa maendeleo ya kweli mwanadamu ni akili. Rasilimali si madini, si maliasili maana unaweza ukawa navyo vyote ila kwa kukosa akili vinaweza kutokupa maendeleo ya kweli.
Zanzibar wameweza kulithibitisha hili kwa kuwa wametumia akili kujua kuwa fursa ya utalii ndo njia inayoweza kuwapa mapato makubwa sana huko mbeleni na kuepuka utegemezi hivyo wameamua kuwekeza kweli kwenye utalii hasa kuvutia wawekezaji ambao wanajenga mahoteli yenye hadhi ya juu kabisa kwa ajili ya kujitengeneza kama sehemu kuu ya utalii katika kanda hii ya Afrika.
Kusema ukweli nimevutiwa sana na miradi mikubwa ya ujenzi wa hoteli kubwa na za kisasa kabisa inayoendelea kujengwa Zanzibar. Miradi hii inaitangaza Zanzibar zaidi, inaifanya Zanzibar ijulikane zaidi duniani na kuvutia watu wengi kuitembelea Zanzibar na kuihakikishia kuwa na mapato makubwa na ya uhakika huko mbeleni kiasi ambacho kitaondoa utegemezi wa Zanzibar katika misaada na hata mikopo.
Zanzibar wameshagundua kuwa sehemu ya kuitumia kutoka kiuchumi ni Utalii na wanafanya kweli.
Tukija kwa Tanzania bara huku ndo kuna mabingwa wa maneno, kujisifu, kulalamika na kupiga pesa. Huku hadi sasa ni kama mtu ambae bado anajitafuta na hajajua aweke nguvu kubwa kwenye nini ili kujihakikishia kupata mapato makubwa siku za mbeleni na kuondokana na utegemezi wa misaada na mikopo kichefuchefu.
Huku kila kitu tunafanya alafu mbaya zaidi tunafanya bora liende. Hakuna kitu ambacho tunafanya kwa nguvu na akili kubwa tena kwa ufanisi kiasi ambacho tunaweza sema hiki ndo tunakifanya ili kututengenezea mapato makubwa kwa ajili ya kuondoa utegemezi huko mbeleni.
Ninachosikitika zaidi miradi mingi ya huku bara sio miradi ya kutengeneza fedha na mapato huko mbeleni, miradi mingi ya huku ni kwa ajili ya kutumia tu pesa kujenga majengo ya shule, ofisi, miundombinu ambayo huko mbeleni itahitaji maintenance na repair ambazo zitahitaji pia pesa ambazo bado hatujatumia akili zetu kujua tutazipata wapi kwa miaka mingi huko mbeleni.
Naisikitikia sana Tanzania Bara maana kusema kweli siioni ikiendelea kuwa sustainable kiuchumi kwa miaka mbili mbeleni.
Viongozi wa Tanzania Bara siwaoni wakitumia akili vizuri walizopewa na Mungu kuwaza, kupanga na kufanya mambo makubwa tena kwa ufanisi mkubwa kuihakikishia nchi inakuwa na mapato makubwa huko mbeleni na kuondokana na utegemezi.
Tubadilishane Samia aende Zanzibar na Dk Mwinyi aje bara
Kwn kichwa cha habari kinasemajeMwinyi alichaguliwa na Wazanzibar au aliteliwa na Magufuli kwenda kuwa Rais Zanzibar?
Rais Mwinyi ni mbunifu na haogopi kusimamia kile anachokiamini kama vile alivyokuwa Hayati Magufuli, ndiyo maana unaona miradi ya maana sana imekamilika Zanzibar ndani ya miaka 3 tofauti na bara ambako kila kitu ni siasa, danadana na makongamano yasiyoisha.
Hata wa huku bara kaletwa. Ndiye aliemchagua kuwa mgombea mwenzaKumbe Mwinyi kaletwa na Dikteta uchwara tulifikiria alichaguliwa na wananchi wenyewe ktk uchaguzi feki. Asante kwa taarifa.
Kuni ziongezwe huko aliko kwa kupora mamlaka ya watu na mauaji ya wasio na hatia
Hao Tanganyika mbona hizo fedha wanazo za kutosha mpaka wanawapa Zanzibar lakini wao hawafanyi kituKulwa Jilala hivi ulitegemea Mwinyi ashindwe kufanya miradi na kukamilisha wakati anasapoti ya kifedha toka Tanganyika? Shughuli zote za miradi ya Tanganyika imehamia Zanzibar
Hivi SGR ya kutoka Dar Moro hadi Dodoma imefia wapi? Maana sikuhizi sisikii kabisa story zake kuhusu majaribio
Mradi wa umeme JNHPP na reli ya SGR ambayo miaka ya karibuni watu wamepiga hela ya kutoshaTufanye Mwinyi katumia akili sawa,ehee na Mwendazake alitumiaka akili zipi akajua fursa ya kuiletea maendelea Bara? Nitajie
Vimekupunguzia umaskini achilia mbali kuondoa?Mradi wa umeme JNHPP na reli ya SGR ambayo miaka ya karibuni watu wamepiga hela ya kutosha