Recent content by Albosignathus

  1. A

    Nitaijibu Barua Ya Kujiuzulu ya Humphrey Polepole kwa Hoja Nzito na kuonyesha Unafiki wake na wale wanaomtumia kumyumbisha Rais Samia

    Fanyfanya Mpango uolewe tu Kwa maana hizo ni tabia za kike,hata macho hayaoni ?? Huu ni mwezi wa pili Dar hakuna maji safi kama sio upuuzi ni nini?
  2. A

    Ukisikia watu wana wito wa Mungu muelewe. Askofu Dunstan Maboya wa Kanisa la Mwamposa alikuwa Polisi akaacha kazi na kuanzisha kanisa

    Hakuna lolote.Kwanza Pato analopata Kwa Sasa ni kubwa kuliko alivyokuwa polisi angetoka kwenye kipato kubwa kwenda kwenye kidogo ndio ingekuwa na maajabu.Pamoja na hayo hapo hakuna Mungu wa kweli zaidi ya ushirikina wa maajabu ya UONGO wakimsingizia Yesu
  3. A

    KERO Maji Dar lmezidi kuwa zaidi ya kero

    Utakuwa hujitambui au una maslahi Kwa maji kutotoka bombani
  4. A

    KERO Maji Dar lmezidi kuwa zaidi ya kero

    Ni upuuzi wa kupindukia mkuu
  5. A

    KERO Maji Dar lmezidi kuwa zaidi ya kero

    Kodi unazolipa ni kwamba upate huduma za kijanii ikiwemo maji safi hapo Mbagala mtakuwa mnakunywa maji yaliochanganyikana na vinyesi Kwa maana hapo nyumba zimebanana na hakuna mwenye uwezo wa kuchimba maji hata MITA 40 kwenda chini
  6. A

    KERO Maji Dar lmezidi kuwa zaidi ya kero

    Shida ni kwamba mtangulizi aliweka maji safi ila yeye kaja maji hayatoki Sasa sijui shida ni Nini? Hii ni zaidi ya kudaiwa
  7. A

    KERO Maji Dar lmezidi kuwa zaidi ya kero

    Ni UONGO uliochumpa mipaka
  8. A

    KERO Maji Dar lmezidi kuwa zaidi ya kero

    Habari. Ni masikitiko makubwa kwamba maeneo ya Ilala Gorofani, Sokoni, Bungoni, Sharif shamba, Karume, Mchikichini hayana maji safi Kwa zaidi ya mwezi mmoja Sasa. Cha ajabu ukipiga simu huduma Kwa wateja Dawasa hakuna jibu unalopewa au hawapokei simu kabisaa. Magufuli japo alikuwa ni...
  9. A

    KERO Maji baadhi ya Maeneo ya Dar imekuwa ni kero

    Habari, Baada ya Mzalendo John Pombe Magufuli kuchukua madaraka alijitahidi kuboresha huduma za maji Kwa maeneo ya Ilala ilikuwa ni nadra sana maji kukatika, lakini Cha ajabu na masikitiko makubwa ni kwamba maeneo ya Ilala Kwa Sasa Yana shida ya maji kama vile hapa ni kijijini Singida ndani...
  10. A

    Hakikisha watu wako wa karibu, mwanamke wako, ndugu na marafiki hawajui lolote kuhusu wewe na mipango yako ya maisha

    Sijui kwanini watu wajinga wanaogopa Uchawi.Sasa mkeo usipomwambia mambo ya maisha yako si Bora upelekwe Mirembe ukapimwe
  11. A

    Mbinu za Madikteta kutawala watu

    Madikteta mara nyingi Huwa mafisadi vilevile. Hawa watu hupenda sana kuwapa watu rushwa ili kuwanyamazisha,Wengine hupewa rushwa kubwa Wengine huambulia vitu vidogovidogo kama mtungi wa gesi,kanga,vitenge na Kofia hata bia Moja tu ni kulingana na mtu anavyojitambua,akiona wewe rushwa Hutaki...
  12. A

    Msaada: Kichwa kinawaka moto kwa mawazo, nakosa usingizi

    Wewe Sasa ukijiuwa utapata kazi? Acha ufala wewe.Mimi nilikuwa na nyumba nne na gari 8 nanilipoteza zoote ila sikuwazaga hata kujiuwa.Wewe ni msomi shida Yako ni AIBU unataka uwe ofisini?? Tafuta biashara ndogondogo ufanye ukiwa unasubiri baraka za Mungu.Fanya kazi yeyote ya Halali upate...
  13. A

    Mo Foundation ni Matapeli namba yangu ila

    Nasomesha mkuu.Watoto 5 wote private
Back
Top Bottom