Recent content by albertooo

  1. albertooo

    JamiiForums Tanzania Wakati Chawa Wakishambulia Dkt Kitima Mitandaoni, Viongozi wao wanapishana ofisini kwake kumuomba Radhi

    Kaka fikiri kidogo kabla ya kureply, unatoa maneno makali sana kanakwamba huyo mzee wa watu alishakukosea.
  2. albertooo

    JamiiForums Tanzania Samia anafurahia mateso ya Tanganyika?. Hebu soma Kwa makini

    Tuko mwishoni
  3. albertooo

    JamiiForums Tanzania Mawazo yangu kuhusu maandamano ya Sabasaba

    Ndo kilichobaki maana shida zetu wanazijua na hawataki kuzitatua,, Wananchi wamekosa matumaini kabisa na huu utawala.
  4. albertooo

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba acha uongo wewe!

    siku iyo we kaa ndani Mbona hajawahi kuonesha vithibitisho,,
  5. albertooo

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu: Tumekamata mtu ameahidiwa dola milioni 1 endapo watu wengi watakufa - Kinachotafutwa ni rasilimali

    Waziri kaona achekeshe watanzania😀😀,,angejua zama hizi sio kama zile zama,asingekua analeta bongo movie.
  6. albertooo

    JamiiForums Tanzania Naomba kazi: Nimesoma degree ya computer science,,nimefanya kazi shirika binafsi,chuo nilimaliza 2017

    Nina degree ya computer science.nimefanya kazi shirika binafsi ila kwa sasa sina kazi...Kwa yeyote anaeweza kunipa njia ya wap naweza ajiliwa au kuniajiri ntashukuru.
  7. albertooo

    JamiiForums Tanzania Vijana waanza kuulizia Ratiba na Njia za maandamano ya Amani ya 7/7

    Sahihi mkuu
  8. albertooo

    JamiiForums Tanzania Vijana waanza kuulizia Ratiba na Njia za maandamano ya Amani ya 7/7

    Tarehe 7/7 we kaa ndani, tumaoandamana tuache tufanye ivyo.
  9. albertooo

    JamiiForums Tanzania Prof. Kitila Mkumbo: Tanzania haitakubali kupangiwa marafiki wala maadui

    🤝🤝🤝
Back
Top Bottom