JF huwa ni raha sana na story hazikomi...kwa mfano huyu nae kaja na story yake ya kina Nape wakati WENYEVITI wa CCM mkoa wanabwaga manyanga. Tusijisahau kupitiliza na kujifanya tunajua kuliko walio ndani ya CCM ambao hukaa kwenye vikao vinavyofanya maamuzi muhimu ya chama;hawa wanajua...
Mwanzoni nilidhani JF ni Real Home of Great Thinkers.....Kumbe kila mtu anaweza kukaa chini na kuandika anachojisikia akijitahidi kusambaza chuki za kufikirika na kuacha kufikiri kwa kina na kukitetea anachokipenda hata kama ni kibovu. Leo asubuhi pia nimemsikiliza somebody Bana nadhani ni prof...
Unayo haki na utashi wa kufikiri hivyo...ila kwangu ni mawazo ya walioshindwa na kukata tamaa. Scene za siasa hubadirishwa na wanasiasa kulingana na upepo na utafiti sometimes. Sio kwa mawazo kama haya eti chama kimeuzwa. After all wewe ni mnazi wa CCM inakuumiza nini kuuzwa kwa CDM why you guys...

Wenye hizo mamlaka za juu wapo ndugu na subiri wajibu kuliko hicho unachofanya sasa cha kumshutumu EL na kumuita kila jina baya. Usilazimihe mawazo yako ndio wazo la serikali kuu na usiruhusu siasa cha chuki za watu fulani ndio ziwe zako. EL amezungumza na leo hii CCM watazungumza; Tulia then...
Ndani ya JF kuuna UHURU wa mawzo na maoni, ila nafikiri uuhuru huu usitupeleke mahali tukawa watu w "FUNY" hasa inapofika mustakabali wa nchi! Sio lazima kila MADA utakayoikuta uichangie. Kukaa nkimya SOMETIMES ni HEKIMA hasa kama utakuwa huna cha kusema.
Luv you guys
Regards
Albert
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.