Recent content by albert-albert

  1. A

    Wale wa vyuo hivi tukutane hapa

    Mimi niliomba higher diploma ya edn sikupata daaah roho inaumaaa!,sijui nilijichanganya,?mana niliomba kada mbili ualim na afya,wamenipa oldnary diploma medical laboratory
  2. A

    Nimepangiwa chuo ambacho kimefungiwa, nifanyeje?

    Habari zenu wanajamvi, Poleni na majukumu, naomba msaada wa mawazo. Mimi niliomba kudahiliwa higher diploma ya education pia ordinary diploma za afya kupitia NACTE. Wamenipa ordinary diploma in medical laboratory chuo cha St. Francis ambacho nasikia kimefungiwa. Nifanyeje jamani?
  3. A

    Kwa anayefahamu kuhusiana na Higher Diploma in Science and Mathematics

    habari zenu ndugu zangu,napenda kufahamu kutoka kwenu kuhusiana na higher diploma in science and mathematics itolewayo kwenye vyuo mbalimbali vya ualimu. 1.je hii ni kozi ya miaka mingapi?(mana nacte kwenye kitabu chao wameandika 2yrs bt nilijaribu kutafuta joining instruction za mwaka...
  4. A

    Msaada wa mawazo diploma clinical medicine vs ualimu

    kama ni teaching ntasoma higher diploma (kwa sababu ada yake ni ndg ukilinganisha na degree) afya lazma nianze diploma kwa sababu advance skusoma PCB
  5. A

    Msaada wa mawazo diploma clinical medicine vs ualimu

    asante kaka.ntafanya ivo.kikubwa komaeni nnae #hainakufeli2016
  6. A

    Msaada wa mawazo diploma clinical medicine vs ualimu

    Habari zenu jamani.naomba kupata msaada wa mawazo kutoka kwenu.Mimi nilikua nasoma bs.informatics sua.lakini nimediscontinue mwaka jana kabla ya kuingia mwaka 3(mwaka huu).kwa sasa natafakari kitu cha kufanya kati ya hivi viwili 1.nitumie cheti cha form 4 kuaply diploma kozi za afya(co) au...
Back
Top Bottom