Recent content by alawa

  1. A

    JamiiForums Tanzania GE2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

    Unasubiri nape amtangaze lowassa?
  2. A

    JamiiForums Tanzania GE2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

    Kweli naenda kulala,lakini kweli yenyewe haitalala.
  3. A

    JamiiForums Tanzania GE2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

    Hayo ndo majina yaliyopitishwa na ccm kuingia tano bora. Usiku mwema wajameni.
  4. A

    JamiiForums Tanzania Dalili zinaonyesha Danni Makanga kibarua kimeota nyasi.

    Kuna habari zimezagaa kasulu kuwa DC amepewa barua ya kusimamishwa kazi. Mwenye habari kamili atusaidie.
  5. A

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete hatufai

    Kazi yako ni nini hasa? Jamani mniwie radhi,hiki ki- j.i .bwa nakichukia sana,hakijawahi kuwa fare,kila kitu kinatetea tu. Hivi wewe ni mtanzania kweli?
  6. A

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    Kajijini kwetu Kenyamonta wilaya ya Serengeti mkoa wa Mara,kuna vitongoji 5 Chadema walisimamisha wagombea ktk vitongoji 4, ccm walisimamisha wagombea vitongoji vote. Matokeo; M/kiti wa kijiji, ccm kura 36, cuf kura 48 na cdm kura 736. Vitongoji ; ccm 1, cdm 4. Asanteni.
  7. A

    JamiiForums Tanzania Kijijini kwetu nimeanza kuhamasisha wasitoe mchango wa ujenzi wa maabara, Je! Nitakuwa nina makosa?

    Ulitakiwa kuomba ushauri kabla hujaanza kuhamasisha.
  8. A

    JamiiForums Tanzania Truth meter: CHADEMA kuwakosa Zitto na dk. Slaa itapwaya

    Zitto akifa je?
  9. A

    JamiiForums Tanzania Kingunge Ngombale nae amshukuru MUNGU

    Kwa bwana kila goti litapigwa!
  10. A

    JamiiForums Tanzania Asenga vs Upendo Peneza nani jembe?

    Usiniambie Mimi habari za asenga,eti umlinganishe na upendo? Asenga ni mweupe mno kichwani Sijui kwanini uvccm wanaamua kumwacha akawawakilishe huku wakijua anaenda kupambana kwa hoja. Wakati mwingine huwa namhurumia,hajitambui jamaa.
  11. A

    JamiiForums Tanzania Mbowe anafunika hapa Gairo muda huu

    Nyie ndo mnamlea,uliza wakurya wanaofanya biashara ya nguo pale gairo,wanaoishi kwenye guest bovu la CBS,siku moja tulimchapa mboko za hatari huyu m.b..wa, alituita walevi, acha tumchape mboko ilikuwa sokoni ungu road. Alikimbia huyo. Alisaidiwa na polisi mmoja mmasai kituo cha gairo. Mchapeni...
  12. A

    JamiiForums Tanzania DC na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu wanusurika kuchomwa moto

    Amekosa nini sasa? Prostate ni tusi?
  13. A

    JamiiForums Tanzania DC na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu wanusurika kuchomwa moto

    Makanga anajikomba sana kwa bwana wake,ndo maana anafanya shughuli za chama waziwazi.
  14. A

    JamiiForums Tanzania DC na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu wanusurika kuchomwa moto

    Hata ile situation iliwachanganya sana. Ilitosha kutoa ujumbe.
Back
Top Bottom