Recent content by ALAKH SAIDI

  1. A

    Simulizi ya Kweli: Nimeanguka kimapenzi na mtu nisiyemjua

    jamani mwacheni amalizie kisha mutoe maoni yenu au sio waungwana!
  2. A

    Ngono ya wizi inanoga kuliko tendo la ndoa katika Ndoa halali.

    INOGE WAP! UMERO TU UMEWAJAA,JAMANI NI HATARI,HIVI HAMUONI KUWA WAKATI WA TENDO HILO LA WIZI UNAKUA HAUNA RAHA BALI UNAKUWA NA WASIWASI.je ukipewa tunda tamu lakini ukaambiwa ni lawizi na mwenyewe aweza kutokea wakati wowote utalila kwa raha? acheni utani jamani nunueni matundayenu halali.
  3. A

    Wahaya Bwana- Kagera Day Balaa Tupu!

    Dah,niutani lakini ukuzidi! Unauma kidogo ok,si mnajua tena wakati utani unapo zidi waweza kujisahau kuwa upo kwenye jumba la utani!!!!!!!!!
Back
Top Bottom