Mm kwa mtazamo wangu naona kama vile watu hawkufikiria mbali maana kama wenzetu wanatamani afrika yote iungani iwe kitu kimoja badala ya kupunguza wilaya na mikoa kwa ajili ya kupunguza matiumizi ya fedha watu ndio wanazidi kuongeza hata haiji akilini kwangu kwa kweli.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.