Recent content by AL-SALAM

  1. A

    JamiiForums Tanzania Siri nzito kuhusu kutoonekana kwa kiongozi wa UAMSHO Zanzibar

    nawaletea list ya viongozi ambao ni wana UAMSHO huku wakijifanya kuchukia uamsho ila ndio supporters wakuu na wafadhili wakuu...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Siri nzito kuhusu kutoonekana kwa kiongozi wa UAMSHO Zanzibar

    kalagha bao ulitakaje sasa?unadhani watu jamii hatujuani?identity yangu humu ni gold ila sikupenda kujulikana na ukweli ndio huo we angalia lini nimejoin na sio ujumbe ila ukweli ntauweka wazi nakamilisha tu leo watamwamishia wapi niwajuze kwa majina ya wote wana mtandao wa uamsho huku...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Siri nzito kuhusu kutoonekana kwa kiongozi wa UAMSHO Zanzibar

    sasa mkuu ulitaka nijiite unavyotaka wewe?
  4. A

    JamiiForums Tanzania Siri nzito kuhusu kutoonekana kwa kiongozi wa UAMSHO Zanzibar

    Kwa taarifa za uhakika nilizozipata kutoka kwa ndugu yangu wa karibu anayeishi zanzibar ni kwamba tukio la kutoonekana kwa kiongozi huyo wanayedai katekwa ni kwamba ni mpango maalum wa viongozi wa kikundi hicho kuwa wamfiche ili wapate kisingizio cha kufanya uharibifu zanzibar..na kikao hicho...
  5. A

    JamiiForums Tanzania MAKOFI KWAKE PLz

    ubatili mtupu yanapita haya vijana wenzangu
  6. A

    JamiiForums Tanzania Vurugu za UAMSHO Zanzibar: Polisi auawa kikatili...

    pole kwa wanafamilia
  7. A

    JamiiForums Tanzania Mahojiano ya polisi na Sheikh Ponda Issa Ponda

    Nchi imekuwa ya matukia mabaya tu sasa hivi
Back
Top Bottom