sio kwamba ni wewe ndio unampush akope ili nawe upate mtaji kidogo wa kukutoa kimaisha yaani unataka kumfanya dogo ndio fursa ya kuuaga umaskini bila shaka utajifanya mshauri wake akishika hayo mamilion.!
mkuu labda makamu sio mtu wao na endapo the top bi mdashi akitoka huyo ndie atakaeshika na wahuni wanahofia maslahi yao hayatokuwa salama hivyo lazima atoke kwanza kisha waweke makamo mtu wao anaweza kuwa yule kijana wa father mkuu kisha wakamdrop bibi na kijana wa mkuu anashika..ni short cut...
na kibaraka wao ndio huyo Reza anayeishi marekani na jamaa alivyo na tamaa ya madaraka si ajabu akawauza wairan na kuweka mifumo dhaifu kwa maslah ya marekani na Israel na si ajabu hata akitoa siri na teknolojia ya silaha na makombora ya Iran kwa hao vibaraka wake..yaani utoe uongozi unaolinda...
mkuu hutakiwi kuyaacha yamwagike kwani yatakuongezea bili yaani ww unapoacha yamwagike unawasafishia wengine ila wengine wanapotumia huko wanayamaliza hayo machafu na wewe kesho yake ukifungua bomba lako yatatoka masafi..sio ww unafungulia tu alafu hujui hayo machafu yapo lita ngapi hadi yaishe...
mkuu labda hujanielewa vizuri naelewa kuna ng'ombe wa ukweli lakini pia kuna ng'ombe wa kichawi yaani kiini macho tu unapumbazwa ili ufanye mistake jambo lao litimie yaani utakacho kiona ni kama kitu halisi ila sio ni kiini macho tu ni ngumu kutofautisha ni sayansi ya giza tu kama ni feki...
na sio kama hao marekani na mossad wanaweza kujichomeka ndani ya waandamanaji kisha watawaua wairan alafu wasingizie serikali ili watimize hilo lengo lao wanalopanga gizani.!
kwahiyo ajali imetokea usiku chanzo ni kugonga ng'ombe..saa huyo Ng'ombe ametoka wapi usiku huo na mnaambiwa ikiwa unasafiri usiku ukiona kitu barabarani sijui ng'ombe,watu wanaenda kuzika usiku,sijui bibi kizee au mtoto anavuka bararbara yaani chochote kile usikwepe we pita nacho non stop kwani...
eti huyu ndio alikuwa na ndoto za kuja kuwa rais na bila shaka huu u PM alipewa kimkakati ili kumuumbua tu jinsi alivyo na hadaa nyingi lakini haonyeshi mamlaka ya hicho cheo kizito ila huyu anakidogosha maana swaga zake huoni tofauti na mkuu wa wilaya au RC hivi hafanyi marejeo hizo ziara zake...
hio serikali vipi kwani hio Gabon ndio timu pekee iliyotolewa AFCON si zimetolewa nyingi tu kwahiyo wao ndio imewauma sana na huko kufukuza wachezaji hilo si ni jukumu la kocha mkuu au shirikisho la soka.? kwani hao wachezaji wawili wanacheza peke yao uwanjani.! ina maana hao viongozi hawajui...
lakini ukweli huo unaweza kuwa kitanzi chako kwa aina ya polisi tulionao mpaka uchomoke huo msala ushasota hadi miaka 5 rumande si unajua ule wimbo wao upelelezi haujakamilika.! imagine kesi ya wizi wa mbuzi watu wanasoteshwa miaka 3 nyuma ya nondo haijulikani wanapeleleza nini miaka yote hiyo.!
mkuu hizo hela ni dawa kubwa tu huko upande wa giza kuwa zinatumiwa sana na wachawi na waganga wanamix na mavumba mengine na viapo vibaya yaani wanarogwa watu. .wanatumia kufunga riziki za watu,kufunga uchumi,kutia watu nuksi na gundu maana hizo pesa za zamani hazina thamani wala hazitumiki tena...
hata mimi nimeshangaa eti mtoa mada anadai yule aliyekuwa anambeba baraka pale mahakamani eti ndio mnyapala yule.! wakati yule jamaa walikamatwa pamoja MO29 na juzi DPP aliwafutia kesi hivyo wote wameachiwa yaani hata hawamjui wanae mzungumzia.!
kwamba uzibe njia kabisa.! labda kama ni nyuma ya nyumba zenu ambako hamna njia watu kupita mnaweza kushea ukuta mmoja lakini kama katikati ya nyumba zenu watu wanapita alafu mmoja wenu akasimamisha kuta la fensi hapo kichochoro hakikwepeki.!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.